Marathoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marathoni

Discussion in 'Jamii Photos' started by mluga, Jun 22, 2011.

 1. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamaa alitumwa kwenda kushiriki si kuwakilisha, mpo hapo?
   

  Attached Files:

 2. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tamaa zingine ni za kijinga sana. hii yote inatokana na kuto-kukonsetreti na anachokifanya. Kuona wadada tu, mawazo yoooote yamehama! Aagh.....!
   
 4. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  hizi zote ni idea za mafreemason kuwa mbio za marathoni mtu hawezi kimbia mpaka eti amevaa chupi, ni dalili za wazi za kumfata shetani. maana siku zote shetani hufurahi akimtoa mtu katika utu wake na kuwa dharili hata kupita mnyama.
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Acha kukalili, ulitaka avae kanzu ndo akimbie marathon. Kila mchezo una mavazi yake, tatizo yeye alisimamisha mpini, jamaa ina onekana hajawahi kuona akina dada wamevaa nguo zao za athletics. Lakini inaonekana wale wanawake pale walipata burudani ya bure maana wanaonekana wanacheeeka!
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo jamaa anaonyesha tabia mbaya, moral bankruptcy and disruption to a public order. Lakini usikimbilie kutoa hukumu, kila mtu anashetani wake, kuna wazinzi, wezi, wauaji, washirikina, wafuga majini (mashetani), wapinga kiristo nk nk. wote hao kama hawataungama dhambi zao wataingia motoni. Mkuu wewe jipime mwenyewe ujiulize uko kundi lipi, ya mwezio mwachie mwenyewe na Mungu wake.
   
 7. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 8. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Marathon ya kutembea hiyo!
   
Loading...