Wazungu wanaisikitia CCM? (Picha)

Wazungu wanaisikitia CCM? (Picha)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,243
Reaction score
44,524
DSC_7826.JPG


Picha toka kwa Michuzi Blog

Kwanini hawaonekani wenye furaha?
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
wanaona kilichokuwa ndani ya hilo daftari ni upuuzi mtupu hakitekelezeki.
 
Wanaona kama wanasoma udaku vile!! Halafu wanamdharau aliyewaletea hicho kidaftari!!
 
sio wazungu tu..ata mimi na rangi yangu ya udongo, nikisoma nasikitika!
 
Wanashanga badala ya manifesto kuongelea kujenga viwanda ya magamba inaongelea kujenga vyoo,tena latrines!
 
DSC_7826.JPG


Picha toka kwa Michuzi Blog

Kwanini hawaonekani wenye furaha?

Mwanakijiji hizo nyuso sio tu kuwa hazina furaha hao watu wamepazali huyo mwengine amefikwa na nite meya baada ya kusoma yaliyokuwemo ndani ya Bible ya CCM
 
Duh! hicho kijitabu kina mapicha???/ maana huyu jamaa liyekishika anaonekana kama mtoto aliyeona picha ya some monster in the making. hahaha ahahaha!!!
 
Kwani kuna za kiingereza? Wanashangaa wamepewa za nini huku vimeandikwa kwa kiswahili
 
Gosh!! the ccm manifesto is non -compartible!!! wazungu wanashangaa ahadi zaidi ya 3TRILION ????
 
Mh hii, kali kabisa wamechanganikiwa kabisa!
Huyo mtu mzima amemkumbuka Nyerere na anatafakali. Haya madudud kweli yangevumilika
Huyu kijana kidogo haelewi kabisa anaona madudu tu hajui hata pa kuanzia!
 
Du...Jamani,..... kweli ni kama wanaionea KINYAA hiyo dokomenti, maana sura zao zinasomeka bila kukopesha!

Ndo uzuri wa hawa wenzetu, hawanaga unfiki, sijui kama ccm wameligundua hili.
 
Du...Jamani,..... kweli ni kama wanaionea KINYAA hiyo dokomenti, maana sura zao zinasomeka bila kukopesha!

Ndo uzuri wa hawa wenzetu, hawanaga unafiki, sijui kama ccm wameligundua hili.
 
Back
Top Bottom