kama ATM machine zote zingekua hivi...ni soo!

kama ATM machine zote zingekua hivi...ni soo!

moblaze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
231
Reaction score
27
251133_152746271465228_100001895683016_334465_7274296_n.jpg
au wadau mnasemaje? mimi mwenzenu hesabu hana kichwani
 
Watu wangekuwa wanachukulia hela ndani.

Wangeweka kwenye ATM za NMB hakuna foleni kama unazijua hesabu ukifika tu nakuchukua hakuna cha foleni.
 
Watu wangekuwa wanachukulia hela ndani.Wangeweka kwenye ATM za NMB hakuna foleni kama unazijua hesabu ukifika tu nakuchukua hakuna cha foleni.
kweli mkuu
 
ninge rudi system ya kufuga n'gombe as hakiba ya familia, nikitaka hela nauza maziwa. full stop!
 
duh hiyo kali mno watu wangekuwa wanafia kwenye atm kwa pressure
 
Mi ningekuwa nakwenda na mdogo wangu kwani yy hesabu zimelala, hiyo anafanya faster!
 
Walahi mi wasingeniona kabisaaaa hata sura yangu huko!!!!!tehetehetehe hesabu tena na nilishazikacha kipindi niko shuleni aisee???
 
Na kwa kuogopa wengine wanaweza kuangalia jinsi ulivyo kokotoa, si ajabu kukuta watu wapo kwenye style hii:

Funny-ATM-Pictures-3.jpg

​
 
attachment.php


Wakaiweke pale Faculty of Engineering.........otherwise mawakili watakufa njaa
 
Ukichoka au hisabati zikikuchanganya, una relax kwa karata (Spder Solitaire).
1.jpg


​
 
Mbona Value za P na h hatujapewa? then you can not solve. Therfore pesa haitoki
 
watu waliosoma pure math wangepeta ije tu bongo watu tupate ajira tungekuwa tunajiegesha hapo kusolvia watu
 
Back
Top Bottom