Hawa watu wana akili kichwani? hapa si nikutukana Dini ya Kikiristu au???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
face.jpg
Jamani Duniani kuna vibweka na vimbwanga!
 
Hiyo haina uhusiano na dini ya kikristo, wenye matatizo ni wale wanaotumia picha za namna ile makanisani mwao wakiwaaminisha waumini wao kuwa huo ndiyo Ukristo. Ukristo ni Imani siyo picha za kuchonga. Hakuna picha ya kweli ya Yesu Kristo Popote pale duniani, alipokuja duniani hakukuwa na taaluma ya kamera hivyo zilizopo ni za kuchorwa na wasanii, Bilbia inakataza matumizi ya sanamu na picha za kuchora kwani hiyo si sehemu ya Ukristo. Someni maandiko e.g Habakuki 2:18-20
 
Mstari mmoja wa Biblia hautoshi kukufanya wewe ndio waujua ukristo sana, je hukumbuki wana Israel walipona kwa kuangalia sanamu ya nyoka kwa maelekezo ya Mungu mwenywe. Hapo hawaabubu sanamu hata kidogo
 
kweli kabisa watu wanauona msalaba kuwa ni kuabudu sanamu lakini wanaamini kuwa ni katika huo huo msalaba dhambi zao ziliokolewa kwa yesu kufa msalabani. wanajichanganya sana
 
Vibweka na vimbwanga sababu inagusa upande wa ukristo hebu jaribu kuleta picha yoyote ya kumdhiaki mtume s.a.w kama utabak salama humu JF na tz nzima.

Nenda jukwaa la dini ukatazame picha inayoutukana uIslaam kwa jina kabisa na hakuna aliyechukuliwa hatua yoyote. Hivi hiyo picha ina uhusiano upi ukristo? Mimi kinachonikera ni huyo mnyama kuteswa.
 
Mimi kama mkristo mkatoliki naweza kusema kuwa 'Mungu wahurumie hao kwani hawajui watendalo'. Na Ukristo ni kuyaishi maagizo ya Mungu wa kweli kupitia Yesu Kristo aliyezaliwa na Bikira Maria na Kufa msalabani na kufufuka siku ya tatu na kupaa mbinguni na atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu.
 
Kama ni hivyo hap msalabani si ndipo palipopelekea wewe na wengine wote "kusamehewa" dhambi zenu? Na akabebeshwa "mungu"? Duhh, hii kali "Mungu" anambebesha dhambi "Mungu" mwenzie? Ili "sisi" tusamehewe. Raha kweli.
 
Ukiruhusu kila mtu ashangae imani ya mwenzie kwa mfumo uliofanya wewe, nakwambia watu watapata ban hapa.
 
Kama ni hivyo hap msalabani si ndipo palipopelekea wewe na wengine wote "kusamehewa" dhambi zenu? Na akabebeshwa "mungu"? Duhh, hii kali "Mungu" anambebesha dhambi "Mungu" mwenzie? Ili "sisi" tusamehewe. Raha kweli.

umeanza mipasho tunga wimbo.
 
Hiyo haina uhusiano na dini ya kikristo, wenye matatizo ni wale wanaotumia picha za namna ile makanisani mwao wakiwaaminisha waumini wao kuwa huo ndiyo Ukristo. Ukristo ni Imani siyo picha za kuchonga. Hakuna picha ya kweli ya Yesu Kristo Popote pale duniani, alipokuja duniani hakukuwa na taaluma ya kamera hivyo zilizopo ni za kuchorwa na wasanii, Bilbia inakataza matumizi ya sanamu na picha za kuchora kwani hiyo si sehemu ya Ukristo. Someni maandiko e.g Habakuki 2:18-20
Hapo nakubaliana nawewe kuwa sanamu hairuhusiwi na kama ni kuhusu nyoka wa shaba nyikani wana wa Israeli walipewa ile kwa sababu mungu alikuwa anaongea nao kupitia kwa musa na pia sio wote walioingalia ile nyoka wengine walikataa na wakafa leo hii tunaongea na Mungu kupitia maombi so sanamu ya msalaba wa kuchongwa mi sioni haja kwani kwa imani yetu kutazama msalaba wa calvary tunapata wokovu sio kuchonga misalaba na kutembea nayo FAITH IS ALL WHAT MATTERS PIA SOMA KUTOKA 20:4-7
 
lishakuwa jukwaa la dini tayari..wabongo kwa kugeuza matumizi ya vitu ndiyo sababu hii nchi haitokaa iendelee

si muihamishie kule kwenye dini na imani kisha muanze kulumbana!!!!
 
Back
Top Bottom