Kiongozi wa shughuli za serikali bungeni!!!!

Kiongozi wa shughuli za serikali bungeni!!!!

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
2,008
Reaction score
950
Yani Jamaa analala tu akija kuamka anajibu Pumba tupuuu hajui wapi wenzie waweishia wala wapi walianzia.....Magamba bana!
Limelala_linajamba.jpg
 
sasa huyu anapewa sitting allowance au sleeping allowance? Hapo ukute linajamba tu!
 
Anangoja kupiga kura yake kupitisha posho zake na kuzomea wapinzani.
 
Sijui ndio tumeishiwa watu wa kufanya hizi kazi?? Hili zee limepitwa na wakati kabisa kuwa kati utumishi wa umma sasa. Hivi unategemea akiamka hapo atoe mchango wa aina gani?
attachment.php
 
Back
Top Bottom