Sitoisahau hii picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitoisahau hii picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pdidy, Jun 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,633
  Trophy Points: 280
  Jamani yaani nikiona mke wangu amekasirishwa na kitu basi hii picha inatuliwaza sana
  huwa namwambia na sisi ipo siku mmoja wetu atakuwa akila usingizini kwenye mkutano kama hivi akimuwaza mwenzake basi akicheka yaani kinachofwata namwachia wanandoa
  sitoishahu hii picha

  [​IMG]
   
 2. a

  andry surlbaran Senior Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha upompompo tu wa ngeleja sijui mikono hapo ilikua inafanya nini
   
 3. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK anajitaidi saaaaanaaa, wa chini yake ndo wanamuangusha kama uyo jamaa.. bado kidogo atamuangukia mwenzake..
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,633
  Trophy Points: 280
  Ila jk lijanja umeona lilivyoweka 4 ili jamaa akianguka asimtie aibu kwenda chinianaangukia mguuni mwake sasa
  na we ngeleja salma aangukie mguuni na wewe unalala mpaka mzee anapiga 4 sabbabu yako embu badilika mzee wa ridosymbi
   
 5. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa umenena, lakini baba lazima umwadhibu mtoto asiyekutii anaye kuaibisha kwa watu! vinginevyo na wewe utafanana na wao kwa uzembe, kwa utii, kwa kuaibisha!
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,528
  Trophy Points: 280
  Kwa hili lazima wale posho zinazotokana na kodi yako.
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mzee wa madesa ndioamenichekesha zaidi.
   
 8. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 9. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Oyaa, amka mwanangu, huoni unaniaibisha? Cheki kama nawe una desa uzugezuge basi. Hata mimi nna usingizi pia!
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  moblaze,iyo ya kweli au fotoshop? Mh! Jk alale mpaka ainame ivo? Dah! Hapana,iyo aibu!
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,988
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Patamu hapo,mtu kazimika mzimamzima.
   
 12. p

  pat john JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio maana mgao wa umeme kamwe hautokuwa historia.
   
 13. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu GSANA, ni real..sijui wanachoka nini wakati full time wanakula A/C. sijui sisi walala hoi inakuaje????????
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapo alikuwa anaota ndoto kabisa.
   
 15. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ngeleja, nafikiri kwa ushauri tu angeomba ahamishwe ile wizara ili tupime utendaji wake. Inawezekana ni mchapa kazi mzuri ila emawekwa sehemu ambayo ni ngumu kuweza kuonyesha uwezo wake. Ni sawa na kumpanga Kaseja kucheza number 9, kama sio mzoefu atashindwa kucheza vizuri. Ningeshauri Ngeleja aende Wizara ya Ujenzi, na Mzee Magufuli tumlete pale Nishati na Madini tuone kama uozo uko kwa Ngeleja au ni Wizara husika.
   
 16. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi naona kama wote wanlala vilee!! Ah wansinzia vilee, au macho yangu tu?
   
 17. Xkalinga

  Xkalinga Senior Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Yaani watu wanawajadili wao namna ya kuwakwamua ktk umaskini lakini wanaojadiliwa wameuchapa usingizi!!Sijui wabongo tutazinduka lini jamani.yaani unawasha ndege ya raisi hadi huko ili mkalale mkutanoni???Kweli serikali ya ccm imelala.ni aibu tupu
   
 18. Xkalinga

  Xkalinga Senior Member

  #18
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wote hao wa kwenu,huoni mizungu ilivyo makini kufuatilia mkutano,hivi kutolala nako hadi uwe na fedha za kigeni jama
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ZzzZZzzz!!!!!!...
   
 20. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  266472_157303544338087_100001753261190_364445_452106_o.jpg

  na hiyo je mkuu?
   
Loading...