In one exibition final assessment a certain painter coming from arich family that did not like the boy to engage in the artist profession,i recall they rather bought the examiner and in his...
Kwa walio mwanza... hata juu ya mawe waweza kuweka kitu kikakubalika. Ni kiasi cha kufanya utafiti, kutafuta pesa na kuwa na wataalam mahili. Mfano ni huu hapa nawapeni
Jamani yaani nikiona mke wangu amekasirishwa na kitu basi hii picha inatuliwaza sana
huwa namwambia na sisi ipo siku mmoja wetu atakuwa akila usingizini kwenye mkutano kama hivi akimuwaza...
Tangu mwaka 2006 Watanzania na viongozi wetu tumekuwa tunajidai kuwa tunao uwanja wa michezo wa kisasa kabisa huku tukisahau kuwa tunahitajika kujenga viwanja vingine zaidi katika miji kama...
Nimeona hii kwa blog ya jamii na wabongo wengi wakawa wanamponda dogo eti yeye hana nidhamu kwavile anaamukia wakubwa na mkono mmoja mfukoni. Nyie waungwana mwaonaje hili dogo kafanya kosa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.