Tangazo la arobaini ya osama bin laden

Tangazo la arobaini ya osama bin laden

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
Wakuu leo katika pita pita zangu jijini Dsm nimekutana na tangazo limewekwa barabarani, niliamua kulipiga picha ili nanyi wana j.f mjionee jinsi.

18062011327.jpg
 
Ha ha ha ah hawa jamaa zetu tutawaacha duniani na hizi mambo zao......
 
Once you scrutinize in Osama's ideology you might think differently "We are oppressed by Westners economically,socially and even ideologically"
 
Hizo ni shida zao.
 

Attachments

  • triple-axle-hummer-limo[1].jpg
    triple-axle-hummer-limo[1].jpg
    25.2 KB · Views: 99
Ile siku aliyo uawa, Huku mtaani kwetu kuna nyumba walifunga turubai na watu wakalala matanga.
 
Du kweli alipendwa
...Huwezi kuchukiwa na wote bana.. niliwahi kukutana na mganda mmoja alisikitishwa na kifo cha Iddi Amini dada kwa sababu alisababisha Uganda ifahamike ulimwenguni kote..
 
Please, malariasugu pokea tangazo huyu bila shaka utamkubali.
 
Back
Top Bottom