Picha za first world lady huko ziarani.

Picha za first world lady huko ziarani.

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,710
Kwenu wana jamvi watukuka, naomba wale wenye picha za mama Obama huko ziarani mziweke hapa jamvini, kwani hata mimi ni mmojawapo wa wapenzi wake.
 
In Malaysia in full Islamic regalia...

jason-reed-reuters2.jpg
 
Back
Top Bottom