MH...Aseeeeee!!!...??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MH...Aseeeeee!!!...???

Discussion in 'Jamii Photos' started by MIAMIA., Sep 13, 2011.

 1. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Awali ya yote na ninyi nyooote napenda nidcrea interest...mimi ni mpendwa ninaye amini na kusimamia kwamba YESU ndiyo bwana na mwokozi wangu,Amen.
  Kisha turudi katika isue ya mh....aseeeee!!! ???

  Nimeshow interest yangu kwa bwana na kiongozi wangu kwani nalo fanya alinitahadharisha kuwa jambo lolote tulinene kwa uaminifu na kweli tena kwa hofu ya Mungu.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano alilitangazia taifa mapumziko ya siku tatu na zaidi bendera zitapepea nusu mlingoti,je hapa inamaanisha nini?sina majibu


  Source:pic coted from a gud guy face buk page with no pamishen to say his real name.
   

  Attached Files:

 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  kama sijaelewa bado.....
  Ila nimeona bendera ya Tanzania na ya Uchina zikipepea nusu mlingoti. Inayopepea juu ya mlingoti ni bendera ya Afrika ya kusini
   
 3. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu yangu Bujibuji...majibu ninayo meeeengi sana kiasi ya kwamba sina jibu tena mana ktk maisha mm ni muumini wa kuamini swali lolote uaga na jibu moja tu na io ndiyo inanifanya niseme sina jibu.
  nikweli bendera ya TZ na Uchina io nadhan ndiyo zapepea nusu mlingoti na hii yote ni maombolezo ya Nungwi pemba baada ya mel kuzama.
  je ao ambao awajashusha nin maana yake???
  na kiutaratibu na sheria za kawaida hii imekaaaje???
   
 4. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwanza nilifikilia ktk uwanja wa mazingira haya mawili
  (1) Labda anayestahili kushusha bendera ni mfiwa pekee lakini nikaona mbona uchina nao wameshusha?au ni sehem ya TZ ndiyo sababu??
  (2) Pia nilifikiri jambo hili linamuhusu yeyote aliyekatika mipaka ya TZ kwa maana ya mabarozi ya nchi nyingine na n.k je na kama ni hivyo wamepuuza??au??STILL sielew.aaah poa
   
 5. Nebisirwe

  Nebisirwe Senior Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau mnaojua protokali weka sawa hii maana hata mimi niko nje
   
 6. C

  Capitani Member

  #6
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubalozi na maeneo yaliyo ndani ya uzio wao si sehemu ya nchi husika pindi nchi hiyo iwapo na mwakilishi wake hapo. maaamuzi yote lazima yatoke nchini kwao, kuwepo ubalozi hapa TZ sio kwamba basi wapo chin ya mamlaka ya TZ.
   
 7. C

  Capitani Member

  #7
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika hili la msiba wa ZNZ balozi nyingi lazime zipate idhini toka kwao , ndio maana ZA ama south uliona ilkipepepa juu na china ikiwa nusu maamuzi yalitoka nchini kwao ndio taratibu. Kumbuka TZ ilivyo ikomalia NTC ya lbya hapa bongo kuhusu bendera , lazima taratibu zifuatwe.
   
 8. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Agizo la rais kuhusu bendera kupepea nusu mlingoti ni kwa taifa siyo kwa dunia. Hivyo ni bendra za TZ ndizo zinahusika na agizo hilo. Lakini nchi zingine rafiki kama China zinaweza kuunga mkono kwa hiari na kufuatana na protokali zao.
   
 9. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  DUUU! Mkuu nani kakwambia Rais alitangaza mapumziko ya siku tatu! Alichokitangaza ni siku tatu za maombolezo na kuwa wakati huo bendera ya Tanzania zipandishwe nusu mlingoti.
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama hali ndiyo hiyo basi Tanzania haikuwa na haki kuushupalia Ubalozi wa Libya kuhusu Bendera, kwa maana wao walifuata utaratibu waliopewa na Serikali ya NTC..

   
 11. T

  TAIFALANGU Member

  #11
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu haiwezikani china wakashusha bendera kwa ishu ya zanzibar ila kwao kuna tukio lililogongana tareh na kwetu, bendera ya nchi ikipepea nusu mlingoti au ikishushwa jua dunia nzima bendera hiyo ilipo inafanywa tukio moja.
   
 12. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo mambo ya Imani yako na bendera vinaingiaje? Nafikiri hakukua na ulazima wa kueleza Imani yako isipokua kuuliza kama labda Raisi amedanganya kuhusu bendera kuwa nusu mlingoti ama la. Ingawa naona si hivyo, hajadanganya.

  Raisi sio kiongozi wa imani yako, ni kiongozi wa serikali na serikali haina dini na sidhani kama Kikwete ana Imani kama yako kwamba Yesu ni Bwana na Mwokozi wake.

  Usini mind ni katika kuelekezana tu. Na kuhusu protokali ni kama walivyoeleza wadau wengine ila kwa kuongezea hata eneo ambalo barozi za nchi zilipo katika hiyo nchi huesabiwa ni sehemu ya nchi usika(mfano: pale ubarozi wa Marekani ni sehemu ya Marekani ndani ya Nchi yetu na hata Ubarozi wa Tanzania huko Marekani ni sehemu ya Tanzania ndani ya Marekani)
   
Loading...