Chatting ya nape huko facebook. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chatting ya nape huko facebook.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Viol, Sep 13, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  View attachment 37124 Nape siku zote anakuwa na majibu mabaya,ukipinga hoja yake facebook anakuremove kwenye friends zake,Hivi mpaka lini ataweza kukibia hoja za watu?kama anashindwa kumjibu mwananchi wa kawaida je anaweza kuwajibu viongozi wa ngazi za juu?
   
 2. Moseley

  Moseley Senior Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Before nilikua namheshimu sana Nape.. Toka awe katibu mwenezi, Amejishushia sana heshima! Anaongea vitu ambavyo kwa kijana kama yeye havifai.. Kutokana na Ombwe la uongozi, nilitegemea kijana Nape atuongoze bila kujali itikadi za vyama, lakini badala yake amekua ni mtu wa kauli za ajabu ajabu na Hoja nyepesi nyepesi za kulipana visasi vya kisiasa.. SHAME ON U NAPE na CCM yako..
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Yaani anashangaza kweli,ukiona hata vitu anavyopost wala huwezi ukamfaninisha na kijana aliyeishia la saba.
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha nimebaki nacheka tu maana!!!
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nape ni dikteta, haambiliki wala hashauriki na anaogopa sana kukosolewa.
  Kwa kifupi ana superiority complex. Anajiona yeye ni bora na mwenye akili kuliko watu wote duniani
   
 6. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mara nying watu kama nyie huwa hampingi hoja zake kwa hoja bali n kwa matuc..sasa kama mnam2kana kwa nn hacwa remove?...na mbna hauzungumzii uktoa thread jf ya kuwarekebsha chadema walpokosea unapgwa ban!nyie mna chuk zenu bnafc na huyu jamaa kwa kuwa anawaumiza vchwa yan anawakalsha sana2...
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Tatizo lake ni kukataa ushauri na kudharau watu

   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  yaani inachekesha sana
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kwani hapo kuna tusi umeliona?sasa hivi kashaunfriend huyo

   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa Moderator ningekutaka uthibitishe na ukishindwa unakuna ban...pumbavu zako
   
 11. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kijana alieyeishia Darasa la 7 ana busara kuliko Nape, siku zinapozidi kwenda mbele na kiburi chake kinazidi na heshima yake inapungua kwa Ari zaidi Kasi zaidi. Pumbafu sana
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hakuwa kama zamani,zamani alikuwa anajicontrol sana ila siku hizi anaropoka sana

   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaaa!
  Aseeee! Umenichekesha sana!
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  halafu miezi inavyo ongezeka ndivyo tumbo lake linavyozidi kuwa kubwa :bange:
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ameridhika na maisha
   
 17. Ndaki

  Ndaki Member

  #17
  Sep 13, 2011
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nape kama anachukia, anaonyesha kuwa ni maskini wa Hoja, msimlaumu uwezo wake ndo unaishia hapo - gap- afanyeje?
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  utakuta anaanza kukuambia ''mungu akusamehe''
   
 19. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kumbe wanaagiza Madereva kutoka South Africa kuja kuwaendesha kwani Tanzania hakuna Madereva? Duuh nilikuwa sijui mkuu. Daaah Magamba wanahamisha ajira zetu kila kukicha
   
 20. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kwa kuiba Kodi za Watanzania
   
Loading...