Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania

Mr.Professional

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,582
258
Baada ya miaka 50 ya uhuru je tumefanikiwa katika yale malengo ya uhuru ya kuondoa maadui watatu ujinga maradhi na umaskini ????, Je watoto wetu wanapata elimu bora ?
Je tumeondoa adui maradhi ?
Je tumeondoa umaskini ama ndio umezidi ?

Hebu toa maoni yako kabla ya dec 2011?
 

Attachments

  • Uhuru.JPG
    Uhuru.JPG
    49.4 KB · Views: 62
Kwa wenye experience na maisha ya vijijini ni kawaida kuwakuta watoto hivi kwani mazingira yao na vyakula vyao walishavizoea na hawaoni tabu kuishi jinsi walivyo ila sie ambao tunatamani wawe walau kama sie ki hadhi ndo tunatafakari je ni haki kwa nchi yenye raslimali kama hii kweli kusherehekea miaka 50 ya uhuru wake huku mamilioni wakiwa katika lindi la umasikini na tofauti ya kipato kati ya alienacho na asiyenacho inazidi na bado wakuu wetu wanatupaka mafuta kwa migongo ya chupa kuwa TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE. What a crap!!!???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom