Kitu tindikaliii.....duh!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitu tindikaliii.....duh!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by B'REAL, Sep 14, 2011.

 1. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  wapendwaa hii imetokea kwenye campenii igungaa,wiki km mbili,jamaa anaitwa musa tesha...ni mpigaa debe au kelelee wa CCM,alijikuta hoi bin taaban hosptali baada ya kumwagiwaa tindikaliii aka acid na mtu asiejulikana,wakati akimnadi mgombea wake wa CCM kwa mbwenbwee.hadi leo haijajulikana nanii au ni chamaa gani???naomba kuwakilisha MAJERUHI-TINDIKALI-IGUNGA-3.jpg MAJERUHI-TINDIKALI-IGUNGA-2.jpg MAJERUHI-TINDIKALI-IGUNGA.jpg
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Kazi ya nape na CCM hii, ama kweli madaraka matamu
   
 3. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Pole mtanzania mwenzangu. Kwa kweli inatia huruma
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Huyo alipewa hela na Nape ili abandue mabango ya wapinzani......akawazika makontrakta wenziye
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani sijui kwanini binadamu wengine wanakua na roho mbaya kiasi kicho mpaka unataka kumua mwenzio loh! pole kaka mwenyezi mungu atakulinda hili na kila uadui...
   
 6. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Siasa hii italipeleka taifa letu pabaya tusipokuwa makini.
   
 7. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,048
  Trophy Points: 280
  Ukipewa Kandarasi ya Ovyo na mtu mwovu malipo yake huwa ni maovu! Huwezi vuna Zabibu kwenye Mchongoma.
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,007
  Likes Received: 2,657
  Trophy Points: 280
  Kazi ya Nape hiyo...............posho kiduchu kazi ngumu.............na tindikali juu,NYIE VIJANA WA NAPE MSIAMINIANE TENA si mmemuona mwenzenu alivyo sasa.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pole sana kijana,tunakuombea kwa mungu upone haraka uje kutuambia ukweli.
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,621
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Nape mbaya kweli kweli kamuunguza mtoto wa watu kaingia mitini Igunga anaiona kituo cha polisi. Ila mwisho wa ubaya ni aibu, kwani huyu muathirika alikuwa anafanya kazi chafu na yeye kawazidi kete wenziwe nao wakamfanyia kweli.Aliyeuza cheni feki kapewa fedha bandia patamu hapo.
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Najisikia huzuni sana kwa hili, Tatizo la watu wa vijijini hawakomi kutumiwa na CCM kama condom, raha apate mwingine uchafu uguse mwingine.
   
 12. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,956
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  MUNGU atunusuru!
   
 13. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Tupelekwe pabaya mara ngapi?..Kwani balaa la umeme hulioni?
   
 14. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tunakoenda ni kubaya zaidi. Vyama tu vinaleta maafa kama haya? Aaaah!
   
 15. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Jamaa anawajua waliomfanyia unyama, na alishawataja. We subiri kampeni ziishe utawasikia ubaoni. Waliommwagia acid walijua kafa, kumbe bado coz walimpiga sana ndo wakammwagia. Jamaa yupo kcmc ccm inamgharamia matibabu.
   
 16. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana, lakini hata ukipewa pesa angalia upepo unakwendaje, sasa hivi ccm haibebeki
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Acid nouma pole sana mkuu
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Peoples power
   
 19. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  pole ndg yangu, siasa hizi hazifaii
   
 20. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kama imeshafikia hapa sijui uchaguzi wa mwaka 2015 utakuaje!
   
Loading...