Janja ya ccm yajulikana!

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,113
239
TINDIKALI.jpg


Miaka 50 ya Uhuru inapita huku bado nchi yetu imeshindwa kupiga hatua katika sekta ya nishati, serikali imeshindwa kulinda maliasili, wanyama kama twiga wanatoroshwa na kuuzwa kwa bei ya sawa na bure , ..... na matatizo mengine lukuki. je, tatizo ni nini? Nchi yetu bado changa? Watanzania tumelogwa na CCM? ama ni kitu gani hasa??!!! karibu kutoa maoni yako
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
unajua serikali ya CCM inawafanya wanachi waweze kutazama pasipo kuona na kusikia pasipo kuelewa
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,181
14,319
nahisi tumelogwa na aliyetuloga kafa na mwili wake uliteketezwa kwa moto na majivu kutupwa baharini hakuna hata alama yake iliyobaki
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,231
wacha wapige mdundiko wa kutosha si wameshiba bwana
baada ya hapa njaa mpaka kwenye kope za macho
ndo watajuta kujaza matumbo kwa siku
moja af unakaa miaka chungunzima na tumbo empty
watoto hawaendi shule
hosptal hakuna
kweli njaa mbaya saaaaana
 

divalicious

Senior Member
Mar 1, 2011
112
31
there are times, nahisi labda Hii nchi imefungwa kwenye "ulimwengu wa roho" coz the way mambo yanavyoenda dah, I am sure the probs are above the physical/visible levels
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom