Tatizo ni asili au asili ni tatizo?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,945
695
Ndugu wadau.
Mengi yalisemwa kuhusu ndugu yetu Hassanali kuhusu the way alivyopunguza uzito. Wengi wao walidai kuwa jamaa alifanya surgery kuondoa extra fat mwili kwake. Na kweli jamaa ali-trim sana, laiki cha ajabu naona kama hali ile inamrudia tena. Je tatizo ni nini?
Hassanali.JPG

attachment.php


 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom