KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 453
Hilo suala la nape kutohudhuria ufunguzi liko ivi...rostam alisema ccm wamwambie aidha yeye ahudhuria au nape ahudhurie na siyo wote kwa pamoja. kutokana na ccm kuwa ktk hali ngumu na kumhitaji sana rostam wakati huu, ilibidi wampige stop nape kwenda kwenye kampeni igunga kuzindua....hawa ndiyo wenye chama hasa siyo kama akina Nape wanao babaisha watu hatu kuzindua kampeni haendi sijui anaeza itikadi gani na wapi
Hawa wanaendeleza kazi ya Sheikh Yahya.
mashabiki wa ccm wakiwa katika moja ya mikutano ya kampeni igunga. Mbona wanaonekana kama w/jadi?
Hawa mazoka ndio source ya kuturudisha nyuma hapo wamepewa tshirt tu ili watoe kura bure hata wawekzaji uchwara wakija hii mijitu ndio ya kwanza kutolewa maeneo yao na bado inachekelea magamba
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us