Rais Kikwete akiwa na viongozi mbali mbali nyumbani kwa marehemu mbunge Sumari leo ,kutoka kulia ni spika wa bunge Anne Makinda ,mbunge wa Monduli Edward Lowassa na ndugu wa karibu na marehemu...
Wana cdm na wana jf kwa ujumla wenu tujifunze kuwaandaa watoto kuikataa ccm kama wazazi wenye watoto hawa walivyofanya. Tusipowafundisha kuikataa ccm tutaandaa kizazi cha wezi na wanyonyaji kama...
Tukiwa katika hali nzuri kimaisha, tunapokula milo zaidi ya mitatu kwa siku na kusaza, ltunapo lala kwenye mahekalu ya zaidi ya lile la Mfalme Suleiman, tunapougua kidogo lakini tunajitibu kwa...
kina dada hebu toeni kitchen party kwa hawa wenzenu............................!Wafanye nini kuzuia hii kitu...................... maana vinachemsha balaa..............................!msitumie...
Kwa kawaida mtu akiadhibiwa kwa kosa alilotenda halipi kisasi, kudhihirisha hilo tunaona mahakimu hawana matatizo na jamii. isipokuwa mtu akiadhibiwa kwa kuonewa hata kama ni mnyonge anaweza...
Watoto wadogo wa Mbagala sasa hatimaye wamepata sehemu ya Burudani ambayo wamekua wakiikosa kwa muda mrefu sasa. Kama wanavyoonekana katika picha wakiwa katika Bwawa kubwa la kuogerea" Swimming...