unasema mmasai n jasiri kwa kukutana na simba bt huyu jamaa n more than jasili kukutana na kumpga pcha nyoka aina ya anaconder underwater..read this artcle n angalia atach.
###################...
Nadra sana sana kiti kilichoandaliwa katika safu ya mbele ya viongozi wa juu katika matukio kubaki wazi, labda walioandaa walikosea kujua idadi ya wahudhuria na nyadhifa zao, au mhusika amesusia...
Rais Kikwete akisalimiana na katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa Ikulu
jana usiku kwa mazungumzo muendelezo ya katiba mpya
Dhana ilionea ya Dr Slaa kumkwepa Rais Kikwete sasa kwishney
Kabla ya kulala unalipuliza hili godoro halafu hivi vi-milima vinatokea kukupa usingizi mnono!
NB: Haya magodoro wachina wataanza kuyauza bongo hivi karibuni. Anza kusevu vijinoti vyako tangia sasa!
Rais Kikwete akiwa na viongozi mbali mbali nyumbani kwa marehemu mbunge Sumari leo ,kutoka kulia ni spika wa bunge Anne Makinda ,mbunge wa Monduli Edward Lowassa na ndugu wa karibu na marehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.