Jela ya Bongo!!

Jela ya Bongo!!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Jela Bongo.jpg

Wana Jf mmeiona jela hiyo ya Bongo...
Sasa kulala namna hii si hatari jamani..
Maana kuna manjemba wanaweza wakakunyatia usiku..
 
full kujambiana baada ya kula ugali na maharagwe mabovu
 
Hii siyo ile sinema ya ROOTS (Mandingo)
 
Boflo una vituko sana aisee.

Halafu kweli wewe ni si riziki au basi tu umeamua kuchezea akili za watu humu?
 
dah sasa hayo maboresho tuliyo ambiwa yamefanywa.. yako wapi..?
 
hiyo inaitwa mchongoma baada ya muda inatolewa amri ya kugeuka
 
Hiyo inaitwa kumba lala, ili ugeuke lazima filimbi ipigwe na mnagueka wote kwa pamoja.
 
kuna ukweli hapo jaman??? yan ndio kuko ivoo??
mmh basi hali ni tete jaman ouchh.
 
Back
Top Bottom