Angalia, hii ndiyo nini sasa?

Angalia, hii ndiyo nini sasa?

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
1,941
Reaction score
1,011
Hiyo kitu unaikuta katika mlango wa Guest House unayokwenda lala.

Nilipoingia katika G/House hiyo sikuwa nimeiona hiyo kitu. Baada ya kukaa siku mbili ndipo, hamad! nikatupa jicho na "kuona hizo kitu" kwenye hiyo vent. Niijiuliza maswali mengi lakini sikupata jibu hata kwa mojawapo.

Nilijaribu kutaka kupata picha nzuri lakini mazingira hayakuruhusu, kwani kila nilipokuwa na kamera palikuwa na watu kadhaa. iliyopigwa ni kwamba imefanyika katika mazingira ya kiwizi-wizi hasa.

Nini makusudi yake, tafakari halafu share nasi.
 
Attachments

  • SAM_2221.JPG
    SAM_2221.JPG
    21.8 KB · Views: 1,034
Kuna vichupa viwili juu ya mlango.....ni ushirikina tuu........au ni lubricants?
Sasa huku ni kututafuta ubaya! Si tutajuaje kuhusu hivyo vichupa. Aliyeviona alipaswa kuwauliza wahusika pale wangempatia jibu muruwa kabisa na yeye angakuja kutupasha hapa.
 
Hiyo kitu unaikuta katika mlango wa Guest House unayokwenda lala.

Nilipoingia katika G/House hiyo sikuwa nimeiona hiyo kitu. Baada ya kukaa siku mbili ndipo, hamad! nikatupa jicho na "kuona hizo kitu" kwenye hiyo vent. Niijiuliza maswali mengi lakini sikupata jibu hata kwa mojawapo.

Nilijaribu kutaka kupata picha nzuri lakini mazingira hayakuruhusu, kwani kila nilipokuwa na kamera palikuwa na watu kadhaa. iliyopigwa ni kwamba imefanyika katika mazingira ya kiwizi-wizi hasa.

Nini makusudi yake, tafakari halafu share nasi.

kwani ulikosa usingizi!!!
 
Sielewi!sioni chochote!!mbona picha ya kawaida sana?au kuna nini kisichooneka hicho?
 
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 
Hiyo kitu unaikuta katika mlango wa Guest House unayokwenda lala.

Nilipoingia katika G/House hiyo sikuwa nimeiona hiyo kitu. Baada ya kukaa siku mbili ndipo, hamad! nikatupa jicho na "kuona hizo kitu" kwenye hiyo vent. Niijiuliza maswali mengi lakini sikupata jibu hata kwa mojawapo.

Nilijaribu kutaka kupata picha nzuri lakini mazingira hayakuruhusu, kwani kila nilipokuwa na kamera palikuwa na watu kadhaa. iliyopigwa ni kwamba imefanyika katika mazingira ya kiwizi-wizi hasa.

Nini makusudi yake, tafakari halafu share nasi.

ishu ya vichupa kama hivyo nshakutana nayo kwenye guest moja kule Mtwara inaitwa cansolida, mi nadhani ni masuala ya ushirikina tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom