Naombeni Anuani ya Huyu Kiumbe Tafadhali

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakuu kuna mtu mwenye kuijua anuani ya huyu kiumbe tafadhali! Nitashukuru sana.
Noni-Zondi-South-Africa.jpg
 
Unajua nilikua nikiyaona yale magazeti ya udaku na zile picha zinazo pamba kurasa za mbele nilihisi ni watu wakuchorwa! kumbe hapana bwana ni watu wa kiukweliukweli, aisee kweli Mungu wacha aitwe Mungu kwa kuumba.
 
Sasa kama uliweza kupata picha ya mpaka kuweka humu si ungetafuta na anuani zake?
 
Unajua nilikua nikiyaona yale magazeti ya udaku na zile picha zinazo pamba kurasa za mbele nilihisi ni watu wakuchorwa! kumbe hapana bwana ni watu wa kiukweliukweli, aisee kweli Mungu wacha aitwe Mungu kwa kuumba.

atakufaa usiku wa leo huyo bibie...
 
Kaka Ndallo, usipoangalia na kujipanga vizuri kuna siku utaokota jini. Mrudie Muumbaji wako na usali kila mara ili akusamehe na kkuepusha na tamaa, hasa tamaa za zinaa na ufisadi.
 
We anuani ya shemejio unaitakia nini?kumbaff zako si umeona hapo anaitwa Noni zondi msouth africa kata tiketi mbili nikupeleke
 
Mama Mdogo nakubaliana na wewe lakini si unajua tena kipenda roho hula nyama gani?
 
Mkuu hii kitu imetulia. ni ya south kwa dume la mbegu linalopenda kupiga dry. ni musician jina lake limenitoka.
 
We anuani ya shemejio unaitakia nini?kumbaff zako si umeona hapo anaitwa Noni zondi msouth africa kata tiketi mbili nikupeleke

Ahaa kumbe hiki kifaa kinatokea kwa mzee Madiba sio? Ngoja nimfanyie kazi asante mkuu.
 
Back
Top Bottom