Ipi Maneno hii picha ya wana Mahaba ......

Ipi Maneno hii picha ya wana Mahaba ......

Kwasababu ni simu zao.
Alafu acha kutukana kisirisiri.
 
Kwasababu ni simu zao.
Alafu acha kutukana kisirisiri.

Ni HALAFU dada sio ALAFU-Ujumbe ni ule ule, TUKOSOANE,TUREKEBISHANE,TUWAJIBISHANE NDIPO TUSAMEHEANE! na mimi naongeza- kutenda kosa si kosa ili unaporudia kufanya kosa ndio huwa kosa kubwa
 
Uzuri wake?

kuna video inaonyesha dar mchana ni ndogo lakini usiku inakua kubwa balaa!si unaona hata wewe hubanduki kule,huku ndio unachungulia mara moja fasta unarejea kule kutamu
 
kuna video inaonyesha dar mchana ni ndogo lakini usiku inakua kubwa balaa!si unaona hata wewe hubanduki kule,huku ndio unachungulia mara moja fasta unarejea kule kutamu
Hahaha. . mi nimeangalia ile uloweka wewe tu, comment ndo zinanirudisha.
 
Hahaha. . mi nimeangalia ile uloweka wewe tu, comment ndo zinanirudisha.

Alaa kumbe nikiweka mimi ndo unaenjoy siku hizi basi ntaweka tena na tena ufaidi wewe...unasemaje,imekaa vizuri hiyo..
 
Back
Top Bottom