Hivi Wiz khalifa anamudu kweli Amber Rose

Hivi Wiz khalifa anamudu kweli Amber Rose

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
amberwiz9182.jpg
Amber-Rose-Wiz-Khalifa1.jpg
 
Huoni katulia utamfananisha na alipokuwa kwa yule mshoga Kanye...
 
Mhh bora liende hilo hata haendani nae
 
mhmmm!!! mi nadhani hilo swali tumuulize yeye mwenyewe pengine labda anaweza kutupa jibu zuri
 
Duuuh analiwa jamaa na uwizi wa mchana huo akifilisika mama abeba ndundu zake. jamaa amekaa kama machinga amtake nani kama si mkwanja wake
 
Huyu demu kila msanii anayekuja juu lazima ampe Ndude yake!
 
kaziii kweli kweeeiii hapaa...wiz lazimaa anaweza mburuzaa huyo mtoto bana,ndo maana bibie kadataa,kumbukaa wembamba wa reliiiii.............
 
Dah, mwanaume unauliza swali kama hilo?....jamaa akikuskia atasema AKUKAMUE kwanza ndy ujue!....lol!
 
Back
Top Bottom