Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,097 Reaction score 34,913 Jan 24, 2012 #1 hebu toa maelezo yako kuhusu hii picha.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 24, 2012 #2 Ni ishara ya kuanza kwa mgomo wa Madaktari
Habdavi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 1,203 Reaction score 1,775 Jan 24, 2012 #3 Ana jumla ya masikio manne? Sababu naona sehemu ya macho imekuwa replaced na masikio.
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,600 Jan 24, 2012 #4 Atafanyiwa upasuaji na kuwekwa macho baada ya madaktari kuacha mgomo na serikali ikiwalipa vema
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Jan 24, 2012 #5 Ni mzuri sana kwa kazi zetu,kwa kua wakati akiwa anapay atention kwa victim ni ngumu kugundulika so far
Ni mzuri sana kwa kazi zetu,kwa kua wakati akiwa anapay atention kwa victim ni ngumu kugundulika so far