Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Mie sisemi neno. Nawaachie nyie wenyewe mseme msije mkasema nimeongeza chumvi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mnaikumbuka hii wakuu - enzi hizo either English medium schools zilikuwa chache sana au hakuna kabisa; ilikuwa lazima uipitie hadithi ya sungura mjanja.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Embu pata picha siku moja unaenda internet cafe halafu unakuta keyboard kama hii kwenye computer unayotaka kutumia. Je utafanyaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jina la kwanza ktk hili bango lililopo pembeni yangu ndio lilinivutia zaidi.Hapa nilikuwa mji wa Lwodar nchini Kenya,safari iliyonichuku kilomita 507 toka Nairobi.Na huyo jamaa ambaye sura yake...
2 Reactions
65 Replies
8K Views
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika tembea yangu sehemu nyingi duniani ni Afrika tu ndio nimeweza ona hii!
4 Reactions
37 Replies
4K Views
upousha watambuaaa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeikuta hii picha katika facebook, wanaume/ wanawake kuna ukweli hapa???
0 Reactions
2 Replies
2K Views
<ins style="border: medium none ; margin: 0pt; padding: 0pt; display: inline-table; height: 90px; position: relative; visibility: visible; width: 728px;"><ins id="aswift_0_anchor" style="border...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mheshimiwa Zitto Kabwe Kisalimiana na Rais Mstaafu Wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda leo ofisini kwake Lusaka,Zambia Mbunge wa Kigoma...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Machine hii inapatikana blue palace saloon iliyopo nyuma ya shule ya mapambano sinza.
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Nilikua Nairobi majuzi tu, mandhari ya huko imebadilika sana kwa ujenzi wa barabara za juu...nashukuru kwa ankal michuzi kuturushia picha hizi
0 Reactions
31 Replies
4K Views
British PM Cameron's State Dinner preview placecard
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Nimejaribu kutafakari ujumbe uliopo kwenye cartoon hii nimechemsha, sijui alitaka kutoa ujumbe gani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kaazi kwenu:violin::lock1:
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Have your say...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kitu cha wapi hicho
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Hii nilipita mahala nikaiona, Sijui ni elimu ndogo au ni maksudi! Nawaachieni kwa maoni zaidi.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ghafla bin vuu bibi arusi achojoka
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom