Maadhimisho ya wiki ya Maji....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maadhimisho ya wiki ya Maji....!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Katavi, Mar 20, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tuko katika maadhimisho ya wiki ya maji, lakini watu wengi bado hawapati maji safi na salama. Haya ni maji kwa matumizi ya nyumbani kama kunywa, kupikia nk....

  P2050154.JPG
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania.....
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Maji ni Uhai!
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yaani vitu hivi sitaki hata kuviona au kusikia, vinanifanya nijione mnyonge
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ndio maana yake..
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Angalia akina mama wanavyo teseka jamani
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Hayo maji yanayo pita kuna wanachi wametapisha vyoo vyao huko juu huyu mama anachota ya kupikia
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Hivi viunga vya magogoni DAWASCO huwa wanakata maji?
  Angalia mama anavyo teseka na mtoto mgongoni
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Umeona foleni hiyo?
  Siioni sababu ya kuwa na wizara ya maji wakati wananchi wenyewe wanakosa maji
   
 10. k

  kaeso JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inasikitisha kwa kweli na hapo tunajinadi na maisha bora kwa kila mtanzania baada ya miaka 50 ya uhuru!
   
 11. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mkuu mende0 watawala wangejua ulipo ungeishi kwa shida, na laiti kama wananchi wengi wangebahatika kuona hii walahi kile chama chenye mrengo wa kushoto kingekamata hii nchi, mark my words. anyway inasikitisha sana mkuu. :peep:
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hiyo foleni ndo moja kati ya mambo yanayo changia binti zetu kuharibiwa
   
 13. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  CCM Hoooooyeh!
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 15. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hii serekali haiogopi haya maisha ya wananchi wake??????????
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Picha nyingine wandugu zinasikitisha
  Maji hayo hata kuyaweka tuu mdomoni hayafai ila huko vijijini ndio ya kupikia na kunywa kwa wazazi wetu
  Ni aibu miaka hamsini ya uhuru tunashindwa hata kuchimba visima vya maji na kuwawekea wananchi hata pump za kutumia solar angalau wawe na maji ya uhakika
  Maji kama hayo hayafai kw amatumizi ya binadam ila ndio kimbilio la wananchi wengi huko vijijini
  Tuna waziri wa maji ambaye nafikiri wajibu wake umebaki kuhakikisha kuwa wakazi wa dar tuu ndio wana shida ya maji wala hajui huko vijijini au miji mingine hata tone la maji hawalioni na wanakunywa maji ya madimbwi au mvua ikinyesha ndio suluhisho kwa yale maji yaliyosimama barabarani
   
Loading...