Michezo Mingine Sio..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michezo Mingine Sio.....

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bushbaby, Mar 16, 2012.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Panga.jpg

  Ndio unakuta mtoto wako ni mmoja wa hao waliopigishwa magoti...unafanyaje?
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  aisee!!
   
 3. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  dogo mtemi wa mtaa
   
 4. K

  Kamzuzu Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aya ita mvua mpaka inyeshe nisikie kidume anakoroma namtenganisha kichwa na kiwiliwili
   
 5. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Aisee! Hii picha inanikumbusha enzi zileeeeeeee! Tulikuwa tunaishi Ilala Flats(miaka ya 70), kulikuwa na makundi kati yetu na watoto wa Ilala Mchikichini! Ilikuwa ubabe ubabe tu! Siku hizi mnaita Bifu kwa kwenda mbele!
   
 6. sister

  sister JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  hii ni hatari akiwapiga kweli.
   
 7. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni Hatari sana hivi hakuna toys za kuwafaa kuchezea?
   
 8. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Hao watoto inaonekana wametwa nyara.
   
 9. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Hicho kilichoshika panga ukikichunguza kitakuwa ki-kurya, ni hatari sana
   
 10. m

  mzighani Senior Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapo ujue kuwa baadae huyo dogo atakuja kuwa mwanasiasa na baadae kuwa Waziri katika Serikali yetu.
   
 11. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh! sijui hapa ni wapi ktk Afrika? Inaonesha ni nini kinachoendelea kunako jamii husika. Watoto kila cku wanaangalia picha za kutisha, kinachofuata ni kujaribu kuigiza. Noma sana.
   
 12. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  sijui umefikiria nini....umenichekesha sana!!
   
 13. b

  babacollins JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu haya yatakua mambo ya vibanda umiza
   
 14. b

  babacollins JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huu sio mchezo wa watoto watakua wameona watu wazima
   
 15. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Jamani hapo ni wapi? Naogopa kuamini kwamba haya yalitokea Tanzania!!!

  Tiba
   
 16. w

  wa home JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama sio mara ni somalia dogo jasiri km wangu.
   
 17. GABOO

  GABOO Senior Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aisee! Hii itakuwa 1994 kule Rwanda
   
 18. v

  valid statement JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wewe uite mchezo, lakini unaweza ukawa haukua mchezo wala masihakra. Watoto kama hawa walitumiwa na waasi kufanya ukatili mbaya kuliko maelezo kule Siera Leon.
   
 19. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Unamshukuru Mungu wako kwa kukupa hekima ya kulea mtoto wako vizuri, kwa kiasi fulani unagundua kuwa hauhusiki kuzalisha MAJAMBAZI.
   
 20. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Ni michezo tu hakuna kingine hapo. Huoni huyo wa pili kutoka kulia ancheka.ingekuwa dogo kawapiga mkwara wa kweli hakuna ambaye angecheka....!! But it has message though!
   
Loading...