Huu ndio Usupa staa wenyewe.

Huu ndio Usupa staa wenyewe.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
IMG_6538.JPG
 
mkuu si nackia sikuhizi mambo ya cover no, sasa huyu c ana waangusha wenzie.

Inaonekana haendi na wakati. kimsingi hata hiyo cover, alitakiwa apige black, iendane na color ya nguo. atajifunza tu lakini.
 
Nadhani siku hizi ndio fashen kuonyesha hizo za ndani, sisi tupandao daladala ndio huona mengi zaidi-unaweza kuona lundo la shanga utadhani mtu anaenda kuuza!
 
Hapo mnaona ganda tu mnapiga kelele, ingekuwa ndizi yenyewe je wengine humu si wangezimia kwa mfadhaiko?
 
Mbona huyo wakushoto hanakucha superstar kucha zimeng'oka kwa kufulia sabuni za magwanji!!Walikuwa msibani mbona black??
 
Back
Top Bottom