Mabondia wa Tanzania... Dah!

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
DSC_1603.JPG

DSC_1598.JPG
 
Nini tena. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Allow them. They are just doing their work/job. Nina maana tutafika tu.
 
Hivi kama wakivaa bukta nzuri (ndefu) uzito uwa unaongezeka?. Sielewi maana ya kuvaa vibukta vifupi sana kwa mabondia wakati wa kupima uzito.
 
Nini tena. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Allow them. They are just doing their work/job. Nina maana tutafika tu.
Hata kama bana, hao jamaa wanaonekana wanapigania njaa tu sidhani kama wana mapenzi ya dhati ya huo mchezo wenyewe.
 
Hizo ni boxer, chupi ya ndani ya kiume na sizo zile zinazovaliwa na mbondia kwa ajili ya mapambano. Zana zenyewe small size
 
hahahah hata mie nilivyoiona kwa michuzi nilipigwa na butwaa,next time waandaaji wasiwadhalilishe hivyo lol sidhani kama nguo zinaathiri upimaji,mie nimecheka sana hasa huyo mwenye gray yaani kwa kujua atapigwa picha ndio kaenda kupangua sanduku na kutoka na hio...hahhaahhahahahhahhahahahahahahahahahahahahaahhahahah
 
Duh!Hizi naona zimekuwa ndundi badala ya ndondi i mean buxing instead of boxing.Labda boxing ina maana kuvaa boxers
 
Hakuna jipya hapo

images
images
images
images
images


Baadhi ya kanuni wakati wa kupima uzito hizi hapa:

[h=4]#4: Wear the correct shorts / underpants[/h]Male boxers under the age of 17 must wear shorts or underpants when weighing in. Make sure they're clean and well fitting!
[h=4]#5: You can strip but ensure you let females know before![/h]Senior male boxers can wear shorts or underpants when weighing in, but may weigh in stripped if they so wish. Before boxers are allowed to weigh in stripped, authorised females must be informed so that they can leave the weigh in room.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom