VIDEO CLIPS- Jinsi ya kukuza Picha

VIDEO CLIPS- Jinsi ya kukuza Picha

Paulo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Posts
342
Reaction score
71
Wakuu tayari video clips kwa ajili yakuonesha namana mbalimbali za kuweka picha hapa JF zimekamilika. Ziko tatu
Ya kwanza inaonesha jinsi ya kuweka picha kama attachment. Hii ndo imekua ikitumiwa na watu wengi lkn sio nzuri hasa ukizingatia kiwango cha JF kutokana na kwamba picha zake zinakua ni ndogo.

Clip ya pili inaonesha jinsi ya kuweka picha pasipo kutumia njia ya attachment. Pia hii imekuwa ikitumiwa na wengi ingawaje picha bado zinabakia ndogo ingawaje kunakuwa na kaunafuu tofauti na mfumo wa kwanza wa attachment.

Clip ya tatu inaonesha jinsi ya kuweka picha ikawa kubwa. Hii ndo inayotakiwa/pendekezwa (most recommended).

1st Clip
[video]http://www.screencast.com/users/makundi/folders/Jing/media/455b118f-443d-4987-9e43-8370bfd03a62[/video]

2nd clip
TechSmith | Screencast.com, online video sharing, 2011-01-24_1324

3rd clip
[video]http://screencast.com/t/d8gkQvK4F[/video]

Enjoy guys!
 
mkuu ni mpaka utumie hiyo Jing?

Hi Jing ni software kwaajili ya kutengenezea video na pia unapo upload video huhifadhiwa kwenye sever ya Jing. Jing haihusiani na kuweka ama kukuza picha.
 
i tried to highlight the thumbnail but i couldnt get the option of copying the image URL...why mkuu?
 
i tried to highlight the thumbnail but i couldnt get the option of copying the image URL...why mkuu?

Do not highlight the thumbnail! Just right click it and go to copy the image URL..
 
Nitaiagalia baadae saa hizi sina bytes za kutosha, by theway thanks.
 
Mbona mimi nikiweka option ya kucopy inatokea? Hebu pitia 1st clip afu uniambie ni stage ipi ukifika ndo unaright click afu haitokea.
 
hiyo option katika red haitokei,dont know where i am wrong..
Mbona mimi nikiweka option ya kucopy inatokea? Hebu pitia 1st clip afu uniambie ni stage ipi ukifika ndo unaright click afu haitokea.
 
Sasa? Kwanini kusiwe na namna moja tu ya kuweka picha, yaani hiyo ambayo picha itakuwa kubwa kwa vile kila mtu anapenda picha kubwa.
Iwe kama facebook vile...
 
Back
Top Bottom