Umenikumbusha wakati tunacheza basketball timu ya shule JKT ,kulikuwa na mdada mwajiriwa wa jeshi tukifanya naye mazoezi.Basi kila ukitaka kuchukua rebound lazima akuminye mbulungu zako,na kama ni yeye anachukua rebound basi,utapigwa box out kwa makalio yake na ukimpiga finga ndio anakupenda na lazima baada ya mazoezi akutafute.