Leo natoa na salamu.
Kutokea pale nilipoishia.
Kwa mwenyeakili atagundua kuwa huu ulimwengu na vyote vilivyomo, havikujiumba vyenyewe bali kuna alieviumba ndio maana vipo katika mpangilio...
Leo naomba kuwasilisha hii hoja kuhusu napokeo ya Dini za kigeni.
Waafrika tumefikia hatua ya kuona sisi tumeijua Dini zaidi ya wale walioileta. Hii kwa kiasi kikubwa na kusababisha watu wengi...
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni...
UTANGULIZI.
Mkutano unao address mabadiliko ya hali ya hewa,COP26, umekuwa unaendelea Glasgow.Tunaloaminishwa ni kwamba sisi Wanadamu ndio tunaohusika kwa kiwango kikubwa na hali hii kwa kukata...
Wengi mmesoma au mnakumbuka miaka ile ya vita baridi kati ya USA na Soviet Union na kuletea hali ya kuwa na wasiwasi pengine vita ya 3 ya dunia ingetokea. Pamoja na kuja kutokea nyufa katika...
Mengi yamezungumzwa kuhusu ujenzi wa hilo Bwawa. La hivi karibuni ni pale Waziri husika alipodai mkondrasi wa ujenzi, ambaye ana utaalamu, ujuzi, uzoefu na uwezo mkubwa, ati hana mtambo wa kubeba...
Serikali ya Russia inaongozwa na MTU mmoja mwenye nguvu sana(Putin) kama alivyokuwa kiongozi wao aliyeipaisha sana Russia baada ya vita kuu ya dunia, Stallin.
Russia imeingia katika uongozi wa...
Mara nyingi michango ya wanawake katika sekta muhimu kama Teknolojia na sayansi haionekani lakini historia inaonesha jinsi gani wanawake walivyotoa mchango mkubwa hasa katika karne ya mapinduzi ya...
Hili Ni tukio la kweli katika Maisha halisi.
Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa...
Wakubwa wa hili jukwaa heshima kwenu,
Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na mjadala mzito kuhusiana na kifo cha Mrembo maarufu aliyepata kutokea huko Marekani bibie Marilyn Monroe...
Habari za jioni wana JF mada ya leo ni sensitive kidogo hivyo ningependa tuisome kwa umakini,tujifikirishe na tujadiliane kwa mapana bila kashfa za kidini,kejeli,matusi,hasira n.k maana mada hii...
Khabari zenu wana JF, shikamoni wakubwa!
Me nasumbuliwa na hili suala mda mrefu sasa. Aries ndo nyota yangu ila ninajaribu kufatilia hii nyota sijapata ufafanuzi wa kutosha kwetu sisi wanaume...
Take some time to read, its worth reading , Please share after reading......
STORY BEHIND YOUR DATE OF BIRTH !!!! Interesting !!
Hey this is really true and see it will work for you too
If U...
Wanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao...
Kuna mambo mengine yanafikilisha sana, kuna movement kibao zimeanzishwa ili kumpiga vita Ibilisi ila cha kushangaza Ibilisi huyo bado yupo na anadunda vizuri tu.
Ukiangalia movement ambazo Mungu...
Taifa namba moja ulimwenguni, lenye nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi. Ambapo ni mfano kwa maitaifa mengine unafikiri ni kwa namna gani kiongozi wa taifa hilo anasafiri. Safari moja ya rais wa...
Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe...
Jicho la tatu!
Kwa nini maandiko kwenye biblia yalieza kuumbwa kwa mtu kabla ya siku saba ambazo alimaliza kuumba.mwanzo 1:26-31
Mwanzo 1:26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa...
Sodoma na Gomorrah ni miji iliyokuja kuangamizwa kwa sababu wakazi wake walifanya kufuru ya starehe mpaka kumsahau Mungu kabisa....na kibaya zaidi ni ile dhambi ya kutenda kinyume na maumbile...
Kama nilivyo ahidi Huu ni mwendelezo wa mada ya kuwajua viumbe hawa, kabla hujasoma hii ni vyema ukasoma mada yangu inahusu Wananiuliza Devil ni nani. Baada ya kumjua devil ni zamu ya lucifer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.