Hii dhana ndiyo inayotufanya sisi watu weusi tuendelee kuwa dhaifu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Tunakazana sana kusema TULIKUWA. hatuhangaiki na Kusema TUKOJE sasa na TUTAKUWAJE.

ukiona watu wanavyohangaika kusema waisrael walikuwa weusi. Unajiuliza so what?or then what happened?

Ukisoma watu wanavyohangaika kusema wa misri walikuwa weusi then unajiuliza so what ?or what happened?

Tunabaki kudandia dandia watu maarufu,makabila maarufu n.k ila ukitizama kwa sasa huoni tunachofanya ku prove hayo kivitendo.akili zilizotumika kujenga pyramids zilipotelea wapi?

Waarabu wangapi na wazungu walikuja kukututawala sisi wengi huku kwetu?na tukashiriki kuuzana,kupigana?hatukuwa na akili.ndo maana utaona mwarabu mmoja au watatu wanaswaga kundi kubwa la watumwa weusi kwenda kuwauza.

Sisi toka zamani ni kama ng'ombe tu ashakum si matusi. Unaweza ona ng'ombe 100 wanaswagwa na mtu mmoja mwenye fimbo.

Akili tulizokuwa nazo awali zimeenda wapi? Asilimia 95 ya vitu tunavyotumia asili yake mzungu au mu asia.sasa sisi tunachoweza ni nini?kila siku tunakuja hapa na nyuzi.yesu alikuwa mweusi, waisrael ni weusi, wamisri ni weusi...so what?

Miaka 50 baada ya kutawaliwa bado nchi zetu ni maskini lakini bado tunalaumu wazungu.ile kututawala tu inaonesha walituzidi akili kwa hiyo sisi hatuna akili.haya baada ya uhuru bado tunapo fail tunasingizia wazungu.

Sisi waafrika tunaringia nini hasa dunia hii?tuseme tu ukweli.tupo tupo tu na ujinga umetujaa. Ndo maana kila kitu kizuri kinahusishwa na weupe.na nadra sana kukuta hata weupe wanahangaika ili wawe weusi.

Au kuwasikia wakidai nyerere au mandela alikuwa mweupe.sisi ni watu wa madai tu.madai tu. Hatusongi mbele.wakati tunahangaika ku prove yesu au waisrael walikuwa weusi wazungu wao wanatengeneza ndege na ku improve technolojia.sisi tunapambana kuthibitisha kuwa yale mapyramids yalikuwa na pua nene zikakatwa.

Tafiti tunazofanya tunatumia vifaa vya mzungu/mtu mweupe.kila kitu bado tunachotaka kuthibitisha weusi wetu tunatumia cha mzungu.

Nadhani hii dhana ya yule alikuwa mweusi na wale walikuwa weusi ni aina ya uchawi wameturogezea tena wazungu.ili sisi tupambane katika hayo huku wao wakisonga mbele.

Tukija kushtuka miaka imepita.haya yesu alikuwa mweusi, waisrael wa asili ni weusi.misri waarabu walikuwa weusi. Mafarao walikuwa weusi.

So what? Mnasema mnaweka sawa historia.then? Badala ya kupambana tujikwamue na kudhihirisha black superiority tunajikuta tunapambana ku claim vitu ambavyo wont help us.
 
Acha watu wachunguze asili zao.
Ni sawa na kumuambia mtu wa Bhaharat aache kufuatilia historia ya Chandragupta,Ashoka na wakina Porus aache kufuatilia ancient tribes kama Pauravaras na Aryan clan.
Unamuambia mngoni aache kufuatilia jinsi babu zake walivyotoka south Africa wakiongozwa na wakina Zwangendamba na Mputa maseko mpaka huku east Africa?
Kama kweli wamisri,sijui waisrael walikuwa ni weusi acha watu wachunguze na kuthibitisia, kwani kuna kosa?
Leo watu wa ugiriki na macedonia wanawatambia Wabhaharat kwamba Alexander the great alimshinda Porus wakati ni dhaili Alexander alipigwa na kurudi kwao.Sasa kwanini wagiriki wanaonekana wakweli? ni kwasabu wao walichunguza historia ya kale kuhusu vita ile na kuuambia ulimwengu kwamba Alexander alishinda, muda huo Wabhaharat wamelala(sasa hivi wameamka)
Wazungu wanakwambia kabla ya wao kuja Afrika haikuwa na maendeleo yoyote ndio maana waafrika wanaleta ushahidi kama huo wa ancient Egypt kumprove wrong mzungu.
Remember history is prestige.
Kesi nyingine?
 
Tunakazana sana kusema TULIKUWA. hatuhangaiki na Kusema TUKOJE sasa na TUTAKUWAJE.

ukiona watu wanavyohangaika kusema waisrael walikuwa weusi. Unajiuliza so what?or then what happened?

Ukisoma watu wanavyohangaika kusema wa misri walikuwa weusi then unajiuliza so what ?or what happened?

Tunabaki kudandia dandia watu maarufu,makabila maarufu n.k ila ukitizama kwa sasa huoni tunachofanya ku prove hayo kivitendo.akili zilizotumika kujenga pyramids zilipotelea wapi?

Waarabu wangapi na wazungu walikuja kukututawala sisi wengi huku kwetu?na tukashiriki kuuzana,kupigana?hatukuwa na akili.ndo maana utaona mwarabu mmoja au watatu wanaswaga kundi kubwa la watumwa weusi kwenda kuwauza.

Sisi toka zamani ni kama ng'ombe tu ashakum si matusi. Unaweza ona ng'ombe 100 wanaswagwa na mtu mmoja mwenye fimbo.

Akili tulizokuwa nazo awali zimeenda wapi? Asilimia 95 ya vitu tunavyotumia asili yake mzungu au mu asia.sasa sisi tunachoweza ni nini?kila siku tunakuja hapa na nyuzi.yesu alikuwa mweusi, waisrael ni weusi, wamisri ni weusi...so what?

Miaka 50 baada ya kutawaliwa bado nchi zetu ni maskini lakini bado tunalaumu wazungu.ile kututawala tu inaonesha walituzidi akili kwa hiyo sisi hatuna akili.haya baada ya uhuru bado tunapo fail tunasingizia wazungu.

Sisi waafrika tunaringia nini hasa dunia hii?tuseme tu ukweli.tupo tupo tu na ujinga umetujaa. Ndo maana kila kitu kizuri kinahusishwa na weupe.na nadra sana kukuta hata weupe wanahangaika ili wawe weusi.

Au kuwasikia wakidai nyerere au mandela alikuwa mweupe.sisi ni watu wa madai tu.madai tu. Hatusongi mbele.wakati tunahangaika ku prove yesu au waisrael walikuwa weusi wazungu wao wanatengeneza ndege na ku improve technolojia.sisi tunapambana kuthibitisha kuwa yale mapyramids yalikuwa na pua nene zikakatwa.

Tafiti tunazofanya tunatumia vifaa vya mzungu/mtu mweupe.kila kitu bado tunachotaka kuthibitisha weusi wetu tunatumia cha mzungu.

Nadhani hii dhana ya yule alikuwa mweusi na wale walikuwa weusi ni aina ya uchawi wameturogezea tena wazungu.ili sisi tupambane katika hayo huku wao wakisonga mbele.

Tukija kushtuka miaka imepita.haya yesu alikuwa mweusi, waisrael wa asili ni weusi.misri waarabu walikuwa weusi. Mafarao walikuwa weusi.

So what? Mnasema mnaweka sawa historia.then? Badala ya kupambana tujikwamue na kudhihirisha black superiority tunajikuta tunapambana ku claim vitu ambavyo wont help us.
Usipotaka kujua ukweli wa kihistoria yako,Wenzio watakuaminisha kuwa wewe ni Nyani,na utakubali kwa kuwa vyote vyako wamevichukua wao.
 
Huna akili mbona hata pamoja na akili zao bado wanakazana kuzuia wengine wasiendelee,tunaweza kuwa wajinga ndio ila wazungu wana matatizo.Angalia mpaka leo yanayotokea palestina nao wale wanalalamika.pumbavu
 
Tunakazana sana kusema TULIKUWA. hatuhangaiki na Kusema TUKOJE sasa na TUTAKUWAJE.

ukiona watu wanavyohangaika kusema waisrael walikuwa weusi. Unajiuliza so what?or then what happened?

Ukisoma watu wanavyohangaika kusema wa misri walikuwa weusi then unajiuliza so what ?or what happened?

Tunabaki kudandia dandia watu maarufu,makabila maarufu n.k ila ukitizama kwa sasa huoni tunachofanya ku prove hayo kivitendo.akili zilizotumika kujenga pyramids zilipotelea wapi?

Waarabu wangapi na wazungu walikuja kukututawala sisi wengi huku kwetu?na tukashiriki kuuzana,kupigana?hatukuwa na akili.ndo maana utaona mwarabu mmoja au watatu wanaswaga kundi kubwa la watumwa weusi kwenda kuwauza.

Sisi toka zamani ni kama ng'ombe tu ashakum si matusi. Unaweza ona ng'ombe 100 wanaswagwa na mtu mmoja mwenye fimbo.

Akili tulizokuwa nazo awali zimeenda wapi? Asilimia 95 ya vitu tunavyotumia asili yake mzungu au mu asia.sasa sisi tunachoweza ni nini?kila siku tunakuja hapa na nyuzi.yesu alikuwa mweusi, waisrael ni weusi, wamisri ni weusi...so what?

Miaka 50 baada ya kutawaliwa bado nchi zetu ni maskini lakini bado tunalaumu wazungu.ile kututawala tu inaonesha walituzidi akili kwa hiyo sisi hatuna akili.haya baada ya uhuru bado tunapo fail tunasingizia wazungu.

Sisi waafrika tunaringia nini hasa dunia hii?tuseme tu ukweli.tupo tupo tu na ujinga umetujaa. Ndo maana kila kitu kizuri kinahusishwa na weupe.na nadra sana kukuta hata weupe wanahangaika ili wawe weusi.

Au kuwasikia wakidai nyerere au mandela alikuwa mweupe.sisi ni watu wa madai tu.madai tu. Hatusongi mbele.wakati tunahangaika ku prove yesu au waisrael walikuwa weusi wazungu wao wanatengeneza ndege na ku improve technolojia.sisi tunapambana kuthibitisha kuwa yale mapyramids yalikuwa na pua nene zikakatwa.

Tafiti tunazofanya tunatumia vifaa vya mzungu/mtu mweupe.kila kitu bado tunachotaka kuthibitisha weusi wetu tunatumia cha mzungu.

Nadhani hii dhana ya yule alikuwa mweusi na wale walikuwa weusi ni aina ya uchawi wameturogezea tena wazungu.ili sisi tupambane katika hayo huku wao wakisonga mbele.

Tukija kushtuka miaka imepita.haya yesu alikuwa mweusi, waisrael wa asili ni weusi.misri waarabu walikuwa weusi. Mafarao walikuwa weusi.

So what? Mnasema mnaweka sawa historia.then? Badala ya kupambana tujikwamue na kudhihirisha black superiority tunajikuta tunapambana ku claim vitu ambavyo wont help us.
HISTORIA ni silaha kubwa kwa binadamu , ndio inasaidia kuandaa mambo yajayo , hivyo hakuna ubaya kujifunza na kujifaharisha nayo, historia ni maisha , badilika
 
Hii ngozi nyeusi hii ina matatizo mpka mtu unabaki unacheka tu

Hiv hayo mapyramid kama tulijenga sisi si tujenge mengine bas kama hayo wameyataka ili tuprove tunaweza

Asili ya mtu mweusi ni lawama tu na ujinga mwngi kichwan

Ukitaka ku prove angalia nchi zetu tunavyoziendesha yaan ni ubinafs tu ndo tunajua sisi
 
Tunakazana sana kusema TULIKUWA. hatuhangaiki na Kusema TUKOJE sasa na TUTAKUWAJE.

ukiona watu wanavyohangaika kusema waisrael walikuwa weusi. Unajiuliza so what?or then what happened?

Ukisoma watu wanavyohangaika kusema wa misri walikuwa weusi then unajiuliza so what ?or what happened?

Tunabaki kudandia dandia watu maarufu,makabila maarufu n.k ila ukitizama kwa sasa huoni tunachofanya ku prove hayo kivitendo.akili zilizotumika kujenga pyramids zilipotelea wapi?

Waarabu wangapi na wazungu walikuja kukututawala sisi wengi huku kwetu?na tukashiriki kuuzana,kupigana?hatukuwa na akili.ndo maana utaona mwarabu mmoja au watatu wanaswaga kundi kubwa la watumwa weusi kwenda kuwauza.

Sisi toka zamani ni kama ng'ombe tu ashakum si matusi. Unaweza ona ng'ombe 100 wanaswagwa na mtu mmoja mwenye fimbo.

Akili tulizokuwa nazo awali zimeenda wapi? Asilimia 95 ya vitu tunavyotumia asili yake mzungu au mu asia.sasa sisi tunachoweza ni nini?kila siku tunakuja hapa na nyuzi.yesu alikuwa mweusi, waisrael ni weusi, wamisri ni weusi...so what?

Miaka 50 baada ya kutawaliwa bado nchi zetu ni maskini lakini bado tunalaumu wazungu.ile kututawala tu inaonesha walituzidi akili kwa hiyo sisi hatuna akili.haya baada ya uhuru bado tunapo fail tunasingizia wazungu.

Sisi waafrika tunaringia nini hasa dunia hii?tuseme tu ukweli.tupo tupo tu na ujinga umetujaa. Ndo maana kila kitu kizuri kinahusishwa na weupe.na nadra sana kukuta hata weupe wanahangaika ili wawe weusi.

Au kuwasikia wakidai nyerere au mandela alikuwa mweupe.sisi ni watu wa madai tu.madai tu. Hatusongi mbele.wakati tunahangaika ku prove yesu au waisrael walikuwa weusi wazungu wao wanatengeneza ndege na ku improve technolojia.sisi tunapambana kuthibitisha kuwa yale mapyramids yalikuwa na pua nene zikakatwa.

Tafiti tunazofanya tunatumia vifaa vya mzungu/mtu mweupe.kila kitu bado tunachotaka kuthibitisha weusi wetu tunatumia cha mzungu.

Nadhani hii dhana ya yule alikuwa mweusi na wale walikuwa weusi ni aina ya uchawi wameturogezea tena wazungu.ili sisi tupambane katika hayo huku wao wakisonga mbele.

Tukija kushtuka miaka imepita.haya yesu alikuwa mweusi, waisrael wa asili ni weusi.misri waarabu walikuwa weusi. Mafarao walikuwa weusi.

So what? Mnasema mnaweka sawa historia.then? Badala ya kupambana tujikwamue na kudhihirisha black superiority tunajikuta tunapambana ku claim vitu ambavyo wont help us.
mkuu Chizi maarifa sasa na tupe mikakati yako ili tupembue na kurudisha ukuu wa muaferica
 
Africa ijitambue, iangalie ilikwama wapi,inakwama wapi, ina matatizo gani,inayafumbua vipi.kama ilishawahi kuwa vizuri miaka zaidi ya 100 nini kinakwamisha isiwe vizuri kwa sasa.iachane na visingizio.

mkuu Chizi maarifa sasa na tupe mikakati yako ili tupembue na kurudisha ukuu wa muaferica
 
Tatizo waafrika tunataka kuishi kama wazungu hatuutaki uafrika angalia wachina na wahindi wanadumisha mila na desturi zao na wana maendeleo ,kwa nini Dada zetu wanajichubua ,kwa nini hatupendi majina yetu ,kwa nini Dada zetu wanavaa mawigi .uislam ukristo sio vya kwetu ,babu zetu walifungwa minyororo shingoni sisi tumefungwa kwenye ubongo . tuamkeni jamani
 
Kati ya sisi waafrika na hao wachina na wahindi nani anaishi kama wazungu?
 
Asili ya ngozi nyeusi ni kucheza ngoma,kuchezea nyoka na majoka,kupiga lamuli,kuwinda,uvuvi kwa kutumia mitumbwi ,
Kuchimba dawa porini,kuchoma viazi,kutembea kwa miguu,kujisaidia porini nk.

Mfano mdogo tu,
Pikipiki ni usafiri mzuri tu kwa wenye akili, lkn baada ya kuja ktk nchi zetu, ni tatizo kubwa mno!

Narudia kusema tulitakiwa kuishi porini sbb,
Bila kusimamiwa hata kutunza mazingira yanayotuzunguka hatuwezi.
Mtu anakunywa maji chupa anatupa dirishani,
Anaangalia mpira timu yake inafungwa anang'oa viti.

Habari ya pyramid eti zilijengwa na mtu mweusi inatia shaka mno, na kama walijenga Weusi basi ni aina nyingine ambao si sisi.

Tungekua na akili zilizo sawa basi nasi tungekua na koloni walau moja huko Ulaya!

Naunga mkono hoja yako mkuu.
 
Jamaa kazungumzia
1.Atupendi majina yetu
Rais wa china ni XI JIN PING
PM wa INDIA. Narendra MODI
Majina yao aswaaaaaa

2.madada kujichubua
Muhindi na.mchina wajichubue ili iweje , huu upumbavu huko kwa waafrika

3.Madada kuvaa mawigi
hapa ata apahitaji maelezo pako wazi
 
Bora kutembea peku na kunya maporini , kuliko wale wanaolazimisha watu wakubali ushoga
 
Jamaa kazungumzia
1.Atupendi majina yetu
Rais wa china ni XI JIN PING
PM wa INDIA. Narendra MODI
Majina yao aswaaaaaa
2.madada kujichubua
Muhindi na.mchina wajichubue ili iweje , huu upumbavu huko kwa waafrika
3.Madada kuvaa mawigi
hapa ata apahitaji maelezo pako wazi
Suala la majina hata hapa afrika kuna jamii zinatumia sana majina yao ya asili kuna majina ukisikia tu jina utaweza kujua ni mtu wa sehemu fulani.
Kuhusu mawigi wadada wa kiafrika kuyavaa haina maana hao wazungu na wachina hawavai,ila nyie mnataka kulikuza hili jambo kama vile mawigi ni kwa ajiri ya waafrika tu.
Inawezekana wasijichubue ila wanafanya plastic surgery.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom