Kati ya maswali ambayo ni magumu kuyajibu ukiiulizwa hili ni mojawapo, maisha yalianzaje duniani mpaka kuweza kutokea kwa aina mbali mbali ya viumbe ikiwemo na binadamu, (diversity if Life).
From...
*MAMBO MAKUBWA AMBAYO YAMEFICHWA KWENYE VITABU VYA DINI*
HAYA NI MAMBO AMBAYO HAYATAJWI WAZIWAZI WALA KUFUNDISHWA MAKANISANI HATA KWENYE MISAAFU (BIBLIA)HAYAJATAJWA.
Wanajamvi salaam...
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na jumla ya vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie...
Nawapa Hi wana Jukwaa wote wa JamiiForum ila salamu zangu nyingi nawapa wana Jamii Intelligence.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, ila naomba nitoe angalizo kwa wale wadau...
Hello bosses...
Em tutafakari kidogo.
Binadamu tunajiumiza sana pasipo na sababu za msingi, miili yetu haijaumbwa/haijaumbika kwa ajili ya mazingira ya sasa hasa kwenye hii karne ya 21 na ndio...
Barua ya kushangaza imefichuliwa kutoka kwa mmoja wa wafungwa watatu ambao walitoroka Alcatraz mnamo 1962. Mtu anayedai kuwa John Anglin aliandikia polisi wa San Francisco mnamo 2013, lakini sasa...
Nia ya mada hii ni kuuweka muda na matukio kwa ufupi sana kama wataalamu wanavyouona ili tujifunze na kutafakari kwa akili zetu tunapochanganya na ufahamu kutoka vyanzo tofauti. Binafsi huu si...
Wakuu habari..... Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nimekufa nikajizika mwenyewe juu ya kaburi la mtu mwingine. Nikajiandaa mwenyewe hapo kaburini kwa kujilaza chali....... Ila jamaa yangu mmoja...
Tarehe 06 August Ya Mwaka 1945, Ndege iitwayo USAAF B-29 bomber, iliyokuwa inamilikiwa na Jeshi la Anga la Marekani, ilikua chini ya uongozi wa Watu wawili waliokua wakiiongoza ndege hio kukatiza...
MLINZI mkuu zamani wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Peter Bwimbo (87) ameandika kitabu kwa mara ya kwanza akiweka wazi jinsi Mwalimu alivyotoroshwa kutoka katika mikono ya wanajeshi walioasi...
Bwawa hilo la The Three Gorges Dam lililoko China ambalo ni kitu kizito kuwahi kutengenezwa na binadamu lenye kuhifadhi lita trilioni 39, limesababisha kupunguza kasi ya mzunguko wa dunia (earth...
Hapa ni muonekano wa angani wa Kisiwa cha Alcatraz mnamo Januari 1932. Kisiwa hiki kilitumika kama gereza la shirikisho lenye usalama wa hali ya juu kuanzia 1934 hadi 1963.
Huu ni muonekano wa...
SIRI imekuwa wazi: SARATANI si ugonjwa bali BIASHARA!
HEALTHBY NEWSRESCUE.
SEPTEMBER 23, 2016.
*Na Profesa Nandita deSouza kutoka Chuo Kikuu cha Cambridge*:
Neno kuitwa saratani ni uongo ...
Kuna maada mbalimbali zimeanzisha humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini.
Swali la Musingi ni ‘kwa nini kuna...
Kwa sisi raia wa kawaida tumewekewa sheria kuwa haturuhusiwi kupiga picha kambi ya jeshi zaidi zile zenye taarifa muhimu za jeshi. Ndio sipingi na ni sahihi maana kwa kutumia picha tu adui anaweza...
1.Kwenye michezo kama mpira wa miguu.
Huwa tunaona watu na wachezaji wanaomba na kumshukuru Mungu kabla na baada ya mechi. Hii huwa ina maana gani tukizingatia upande unaoshindwa huwa unakuwa...
Refer mada ya kwanini watu wengi hufa usiku
Kuna maelezo na justifications za kisayansi kuhusu watu kufa usiku ambazo hata hivyo hazitoi majibu kwa asilimia mia moja.
Tunaishi katika dunia mbili...
Kwa 100% binadamu wote wanaoamini kuwa Mungu yupo ni wale ambao nafsi zao zimejaa hofu na uwoga kutokana na vitisho mbalimbali ambavyo Mungu ameviweka juu yao.
Hata wewe unayesoma uzi huu muda...
An American Jew has been caught passing military secrets from inside the Pentagon to Israeli intelligence.
Israel denies it, but this is not the first time that the Israelis have been caught...
Kama Wewe ni mfuatiliaji wa Mambo Mbali mbali, Bila shaka Lazima umewahi Kukutanana Na Majina Kama SWAT, CIA au FBI Wakati Tukipiga Stori za Uongo na Ukweli vijiweni. Sasa Leo Nataka Uzijue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.