Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,465
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,465 2,000
Salute..

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..●Doctor Strange

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of AggamatoUpande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
DMCT

DMCT

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Messages
2,297
Points
2,000
DMCT

DMCT

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2015
2,297 2,000
Narudi kusoma, nimekuja kushika siti kwanza.
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,944
Points
2,000
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,944 2,000
Dogo unakuwa consumed na non realistic issues mpaka unaogopa na kuogopesha watu. Hizo symbols na hayo mambo ni imaginary tu wala hayana relevance kwenye dunia hii.

do not take everything so serious da vinci
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,465
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,465 2,000
Dogo unakuwa consumed na non realistic issues mpaka unaogopa na kuogopesha watu. Hizo symbols na hayo mambo ni imaginary tu wala hayana relevance kwenye dunia hii.

do not take everything so serious da vinci
Never ever call me a dogo...
Ur advice noted

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
12,994
Points
2,000
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined Oct 12, 2012
12,994 2,000
24 waliwahi kuigiza Marekani ina Rais mweusi, ilikua kama kituko hadi Obama alipokamata US.

Baadae walileta mwanamke, sijui hesabu ziligonea wapi nafikiri pua ilikua maandalizi ya Clinton.

Hizi movies wakati mwingine zina mambo mazito nyuma yake licha ya kuburudisha.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,465
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,465 2,000
24 waliwahi kuigiza Marekani ina Rais mweusi, ilikua kama kituko hadi Obama alipokamata US.

Baadae walileta mwanamke, sijui hesabu ziligonea wapi nafikiri pua ilikua maandalizi ya Clinton.

Hizi movies wakati mwingine zina mambo mazito nyuma yake licha ya kuburudisha.
Hapo watu wanaweza kukuelewa maana watu hua wanadhani kua marvel hulala ba kuamka kisha wanatuletea hizi muvi. Sio wajinga wanajua wanachofanya.. mfano mashindano ya Olympic watu wanazani yalitokea tuuuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
B

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
1,513
Points
2,000
B

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
1,513 2,000
Inawezekana maana kuna mtu mmoja nimemuona anaomba leo ambavyo si kawaida!!!
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,465
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,465 2,000

Forum statistics

Threads 1,326,248
Members 509,448
Posts 32,215,758
Top