Big Phil
Member
- Nov 20, 2019
- 50
- 338
Kama Wewe ni mfuatiliaji wa Mambo Mbali mbali, Bila shaka Lazima umewahi Kukutanana Na Majina Kama SWAT, CIA au FBI Wakati Tukipiga Stori za Uongo na Ukweli vijiweni. Sasa Leo Nataka Uzijue Kiundani Taasisi hizi.
1. SWAT
Ni Kifupi Cha Special Weapons and Tactics.
Na ilianzishwa Rasmi Mwaka 1964 (Hii ni Kwa Marekani lakini)
SWAT ni kikundi Maalum cha polisi kwa ajili ya kupamba na Matukio yanayohitaji Kutumia Silaha au Mbinu Maalum
Kwa mfano; matukio ya Utekaji na ujambazi, https://t.co/Qcu5ZZ8wUT
2. CIA
Ni Kifupi Cha “Central Intelligence Agency”. Hili ni shirika la upelelezi la serikali ya Marekani, inayohusika na kukusanya, usindikaji, na kuchambua habari za usalama wa kitaifa kutoka duniani kote. https://t.co/utdhNVpbT3. Liliundwa rasmi September 18, 1947. makao Yake Makuu Yako Pale Langley, Virginia. Limejikita zaidi Katika Msauala Ya Kijasusi Ya USA Kwa Ndani Na Nje ya USA. Kwa Mujibu wa Vyanzo mbalimbali, CIA inatajwa Kama Shirika Bora La Kijasusi duniani Huku “Mossad”La Israel Likifuata. https://t.co/UZE3be22VR
3. FBI (Federal Bureau of Investigation)
Shirika la Ujasusi la Shirikisho la Marekani.
Ilianzishwa July 26 1908,Inakadiliwa Kuwa na Wafanyakazi Takribani 35,000 na Bajeti yake kwa mwaka ni
US$9,748,829,000. https://t.co/azEvACoF0e. FBI NA CIA yote ni Kama Mashirika Ya Kujasusi, lakini Tofauti Iliyopo Ni Kwamba,
FBI imejikita katika masuala ya kipelelezi yanayoihusu Marekani Kama Taifa lakini (Domestically) ila CIA ipo Ki Dunia Zaidi. FBI inafanya kazi chini Ya Idara Ya Masuala Ya Haki Ya Marekani.