Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Unaposoma sayansi ya utambuzi wa mwili tunaambiwa kuwa mwili unauwezo wa kujikinga na mashambulizi ya kiufahamu na usidhuriwe na nguvu yoyote toka nje ishu ya laana...
7 Reactions
96 Replies
15K Views
1.KUMUUMBA SHETANI: Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani...
93 Reactions
3K Replies
316K Views
Mvua inaweza ibwa kwa njia ya teknolojia
6 Reactions
10 Replies
369 Views
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha...
188 Reactions
2K Replies
657K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali. Hivi upendo ni nini? au upendo unatoka wapi? mtu akipendwa anahisije? ' Maana sisi ni nyama, damu na maji, kwanini mtu akiumizwa kwenye mahusiano yoyote...
9 Reactions
32 Replies
538 Views
MAAJABU YA BARA LA AFRIKA. "Tajiri yuko tayari kutoa mamilioni kufadhili sherehe yako ya kijinga, lakini ukimwomba TZS 500,000 ya mtaji, anapata 'stroke' ya ghafla. Ni hapa pekee ambapo unaweza...
10 Reactions
37 Replies
763 Views
I have questions 1. who made the universal decision that we should eat lunch at 12??? 2. who decided that it should take 4 years piece to finish high school and college??? 3. who made the...
4 Reactions
8 Replies
275 Views
Dunia kwa ujumla wake ni sehemu ya matokeo yaliyo na sababu fulani. Hakuna jambo lolote duniani ambalo linaweza kumkuta mtu au kutokea kwa bahati mbaya, bali kila jambo ambalo linamkuta mtu au...
11 Reactions
55 Replies
1K Views
Aldrich Ames alikuwa afisa wa ngazi ya juu wa CIA nchini Marekani ambaye aligeuka kuwa jasusi wa Urusi (KGB) wakati wa Vita Baridi. Kuanzia mwaka 1985, Ames aliuza siri nzito za usalama wa...
5 Reactions
12 Replies
595 Views
Katika watu makatili na wakorofi katika Biblia,Yoabu anaweza kukufanya ukamwona kama mwehu,Lakini Alishinda karibu vita vyote katika utawala wa Miaka 40 wa Mfalme Daudi Huko Israel na Yuda Akiwa...
60 Reactions
182 Replies
41K Views
Hizi ni Himizo za mwisho na salamu kwa watu wote. Kwa watanzania, watu wote,viumbe vyote,walio hai na walio pumzika,Ipo kwenu na iwazi sasa,(waebrania12;3), [webrania13;22-25].[/B] Mimi mlango...
4 Reactions
22 Replies
10K Views
Mate...; Neuralphysiology ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni...
24 Reactions
69 Replies
18K Views
Wale watu wa Philosophy,Psychology na Great Thinkers,Hizi ni baadhi ya movies ambazo ukiziangalia Lazima ufikirishe sana ubongo na kujiuliza hivi walifikiria nini kucheza hizi filamu. 1.The da...
7 Reactions
21 Replies
784 Views
Sleeper agent au sleeper cell ni jasusi anayepandikizwa katika nchi fulani au taasisi fulani nyeti kwa ajili ya kufanya upelelezi siku za baadaye, au damage fulani mara atakapotakiwa kuanza...
76 Reactions
265 Replies
47K Views
Natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwamba dunia ni uwanja wa vita za hatima kwahiyo kila mtu ambae yuko hapa duniani anapaswa kujua kwamba yuko vitani na swala la kushinda au...
29 Reactions
169 Replies
13K Views
In the year 2011, the former Iranian president Mahmoud Ahmadinejad said: "They are stealing our rains." No one believed him. How Were the UAE and Israel Stealing Jordan's, Iran's, and Syria's...
1 Reactions
5 Replies
632 Views
Hii haijaanza kutumika Leo n tka enzi za kale. Now days huwekewa katika maAIRCONDITION katika magari,helicopter na ha maofisini. Ukiivuta three times ur dead. Hii inatokana n cyanide kucombine na...
1 Reactions
79 Replies
14K Views
Ili kulielewa vyema na kulitumikia jambo ni lazima mtu kujua nini kilipelekea nini ili leo kipi kitokee. Ni kama vile watu wote huwaheshimu wazazi wao kwa kujua kiuhalisia kwamba ni wao ndio...
46 Reactions
540 Replies
116K Views
Kitu Gani kinafanya wizara ya UJENZI isihusike na miradi YOTE ya UJENZI ya serikali? Bali imejikita kwenye Ujenzi wa barabara kuu na baadhi ya majengo au wizara zingine zinatumia miradi ya...
1 Reactions
5 Replies
288 Views
Umaskini wa siri (Silent Poverty) si ule wa kukosa chakula au malazi. Ni hali ambapo mtu anaonekana ana kipato kizuri na hadhi kubwa kijamii, lakini kiuhalisia hana utulivu wa kifedha. Ni maisha...
45 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom