Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Tahadhari; kuwa makini na barua pepe zote zinazotumwa kupitia normal messages au kwenye email yako. Hususan zile zinazokuvutia kama scholarship, paper submission, conference invitations, mikopo...
4 Reactions
11 Replies
260 Views
Hili suala tulijadili kwa Logic! Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia. Okay unaweza kusema...
26 Reactions
574 Replies
22K Views
1. Maisha ya kwenye Ndoto ukiwa umesinzia si halisi,ila utagundua si halisi pale utakapo zinduka kutoka usingizini.Ndoto ni Illusional..unadanganywa. 2. Video games kama zile za FIFA,GTA n.k...
15 Reactions
40 Replies
929 Views
‎Kwa kawaida nguvu au uwezo wa mwanadamu tumezoea ni ule mtu anao ishi nao au kutumia kila siku kuwa ndio ukomo wake ila kiuhalisia hivyo sivyo hapo sio ukomo wake ulipo bali kuna uwezo wa ziada...
14 Reactions
40 Replies
888 Views
Mnyama wa kitabu cha Ufunuo Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa...
7 Reactions
260 Replies
28K Views
Dunia kabla ya uhai ilikuwa sayari ya kutisha kabisa. Hakuna mtu angeweza kuishi hata sekunde. Hivi ndivyo ilivyokuwa ~miaka bilioni 4.5 hadi 3.8 iliyopita: 1. “Dunia ya Moto” - miaka bilioni 4.5...
6 Reactions
15 Replies
440 Views
JONH F. KENNEDY, CIA NA LEE OSWALD: UJUAJI Vs DOLA, KITENDAWILI CHA DUNIA AMBACHO AKIJATEGULIWA MPAKA SASA. Na Comred Mbwana Allyamtu Thursday-28/05/2020 Marangu, Kilimanjaro- Tanzania. John...
15 Reactions
52 Replies
20K Views
Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa...
26 Reactions
144 Replies
9K Views
Isolation is home of greatness Isolation ni kipindi ambacho Mungu utumia kufundisha au kujifunua uwepo wake kwa wateuliwa wake(annointed) kabla ajawapa majukumu ya kusaidia raia(masses)...
8 Reactions
76 Replies
1K Views
——-VITU VINAVYOTOKEA KWENYE SPIRITUAL REALM——- In spiritual realm kuna mambo mengi yanatokea. Ni tofauti na ndoto unavyodhani ila yenyewe nafsi yako inakuwa imepelekwa kwenye mazingira fulani na...
12 Reactions
76 Replies
4K Views
Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au...
14 Reactions
38 Replies
1K Views
‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic...
4 Reactions
12 Replies
673 Views
Kuna watu hawaamini katika Bing Bang but I want to assure you that Bing Bang is a real thing.
7 Reactions
112 Replies
2K Views
Inner peace is a new success. Ndugu zangu wanadamu leo napenda nitoe elimu kidogo kuhusu suala la kuuza Nafsi au kwa kizungu selling your Soul. Binafsi naamini shetani yupo na pia shetani ni...
12 Reactions
48 Replies
8K Views
Je unawajua choosen one na maajabu yao katika dunia Choosen one ni nani? Ni mtu ambaye amechaguliwa na Mungu kwa ajili ya kutoa mwanga(light) au humanity(utu) duniani. Choosen one ni mtu mwenye...
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua, Husika na kichwa habari hapo juu, Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi...
44 Reactions
282 Replies
26K Views
Kila mtu anatamani kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda hatua nyingine kubwa zaidi, Lakini wengi hamjui kuwa Kutoka hali fulani ya kimaisha kwenda nyingine ni Lazima kuwe na Mabadiliko ya kifikra...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za jioni wana JF mada ya leo pia ni sensitive kidogo maana inagusa imani za watu ila kutokana na kuwepo hitaji la kuweka rekodi sawa nimeona nilete uzi huu ili tujifunze zaidi Na sababu...
70 Reactions
538 Replies
142K Views
Itazame kwa makini sayari yetu Dunia. Our home planet as a whole Hebu fikiria watu bilioni 8 tuko hapo kasoro wenzetu 14 kutoka Marekani, China, Urusi, Canada na Ufaransa walio anga za juu kwa...
22 Reactions
43 Replies
1K Views
  • Poll Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
88 Reactions
7K Replies
389K Views
Back
Top Bottom