Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Haiwezekani na haiingii akilini iweje mtu mweusi asiabudu Mungu wake kama ilivyo jamii zingine Duniani zilivyozaliwa Hadi awe Anaabudu Mungu wa Wazungu,Mungu wa Wayahudi na Mungu wa Waarabu...
5 Reactions
48 Replies
790 Views
Wanabodi, Karibuni, tujadili kwa msingi wa uhalisia wa sasa na kwa maana halisi ya Katiba. Serikali ni taasisi inayoundwa kwa mujibu wa Katiba ili kutekeleza mamlaka ya nchi. Mamlaka hayo...
3 Reactions
1 Replies
211 Views
The Society of Jesus was founded in 1540 by St. Ignatius Loyola and since then has grown from the original seven to 24, 400 members today who work out of 1,825 houses in 112 countries. In the...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Salaam wana jf Ningependa kufahamu kuna uhusiano gani uliopo ndani ya kanisa katoliki baina ya jamii ya kikristo ya kanisa katoliki inayoitwa jesuits na jamii nyingine ya kikatoliki inayoitwa...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Kwenye historia ya uchumi anatajwa mjerumani mwenye Asili ya kiyahudi Karl Marx ndio inasemekana ndio Muasisi wa hii kitu. Kwa Mujibu wa kitambo kimoja The History of Modern Economics Great...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Cuba ilitumbukia gizani kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja Jumamosi, Machi 21, baada ya mtandao wake wa kitaifa wa nishati kushindwa tena, ukiwa umeathiriwa na miundomsingi...
5 Reactions
24 Replies
815 Views
Uchaguzi huru na wazi ni uti wa mgongo wa uhalali wa mamlaka katika taifa lolote linalojenga misingi ya haki, amani, na maendeleo endelevu. Taifa haliwezi kusema lina demokrasia ya kweli ikiwa...
2 Reactions
1 Replies
135 Views
Special gift nini, ni uwezo au vipawa anavyopewa mtu(choosen one) na Mungu kwa ajili ya kumsaidia kutimiza kusudi(calling) au wito duniani. Choosen one ni nani, ni mtu aliyechaguliwa na Mungu...
5 Reactions
24 Replies
570 Views
There are more than just three dimensions to our universe… For decades, the boundaries of our three-dimensional world have been questioned by physicists who suspect that reality is far more...
3 Reactions
0 Replies
222 Views
Nimepitia kipeperushi Cha Bw. Civilian Coin-mtoto wa Kisandu Kama anavyojiita yeye anathibitisha kuwa Malaika ndio Mungu.
6 Reactions
20 Replies
417 Views
‎Maisha ya Nikola Tesla ni moja ya hadithi za kuvutia sana katika historia ya sayansi, hadithi ya mtu aliyekuwa na akili ya ajabu sana lakini pia maisha yaliyojaa mafanikio makubwa na baadaye...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunaishi katika dunia mbili na nyakati mbili, dunia halisi na nyakati halisi ama dunia ya uwakilishi na nyakati za uwakilishi. Tunaweza pia kuishi kwenye dunia halisi ila nyakati zika za...
21 Reactions
144 Replies
32K Views
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho. Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
141 Reactions
3K Replies
465K Views
Leo nitawaelekeza kwenda nyuma ya muda kwa kutumia vitu vya kawaida vinavyopatikana kwenye mazingira yetu, Hatua ya kwanza nenda kwenye sehemu yenye mlima, bonde, au sehemu yeyote iliyojengeka...
5 Reactions
23 Replies
589 Views
Mafanikio ya Urusi kwa sasa inayoongozwa na rais mwenye misimamo thabiti aliyekuwa KGB wa zamani Vladimir Vladimirovich Putin ni yakushangaza kwa wengi hasa western block USA na allies wake wa...
49 Reactions
167 Replies
43K Views
Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu...
8 Reactions
8 Replies
374 Views
Anything which claims to be God must be eaten- an old african proverb. Mada hii sio kwa watu wa kukremisha vitabu. Mada hii sio kwa watu wasiotaka kujifunza nje ya kitabu cha imani yao. Vitabu...
57 Reactions
330 Replies
35K Views
Usitake muujiza , kama unaweza kutumia maarifa ukafanikiwa . Hekima uwa Ina jieleza yenyewe.
2 Reactions
1 Replies
169 Views
Usipokuwa na maarifa ya kiroho basi upo hatarini sana sio tu kuwa masikini daima bali hata na kupotezwa kabisa. Dunia ni uwanja wa vita, kati ya Ufalme wa Mungu mkuu na ufalme wa miungu. Ipo...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom