Laana: Je mwili unaweza kujidhuru?

Laana: Je mwili unaweza kujidhuru?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,548
Reaction score
860,645
Unaposoma sayansi ya utambuzi wa mwili tunaambiwa kuwa mwili unauwezo wa kujikinga na mashambulizi ya kiufahamu na usidhuriwe na nguvu yoyote toka nje ishu ya laana imekuwa na tafiti nyingi zenye majibu tofauti yaliyoacha maswali mengi, baadhi ya maswali hayo ni kama haya,

1.je mwili unaweza kujidhuru?

2. Je kuna nguvu gani kati ya mtoa laana na mlaaniwa?

3.je ukilaaniwa kwa jambo la uongo laana yaweza shika?

4. Je mtu baki anaweza kukulaani na ukalaanika?

5. Je jambo la haki linalaanika?

6. Je kuna nguvu gani katika maneno yatolewayo na mtoa laana?

Maswali ni mengi lakini tunaweza kujadili hayo machache kwanza.
 
Maneno yanakwnda mwilini na rohoni. Laana kama laana ni roho kwa hiyo ili iweze kumpiga mtu lazima inzie rohoni (katika ulimwengu wa Roho) halafu inajidhihirisha katika mwili. Laana ni halisi, ina nguvu na inafanya kazi. kuna laana zinazomuingia mtu hata pasipo kutamkia, mazingira kwa mfano kumtupa mazazi au kumdhalau mzee inaweza ukuletea laana. Pia laana inaweza kusindikizwa na matamshi. au pengine unaweza kuwa umefanya jambo linalostahili laana, ila yule mhusika anaweza kutamka maneno ya kuomba laana hiyo ibatilike na ikawa hivyo. pia laana inaweza kuja kwa vita. yaani mtu analazimisha kumlaani mtu wake au kumtamkia neno baya mtu bila hata kosa. kumbuka mwanadamu ana nguvu za Mungu nadani yake hata kama hamtii Mungu kwani Mungu alitupatia nguvu hizo. kuzitumia vibaya au vizuri ni maamuzi ya mhusika, unaweza kuamua kutamka laana na inaweza kumpata mtu kama mtu huyo pia hana ulinzi wa kimungu. kwani tunaambia Kama Mbayuayu katika kutanga tanga kwake, kadhalika Laana isiyo na sababu haimpati mwenye haki. ila ukikaa vibaya na Mungu wako hata laana za kutupia pasipo sababu zinazewa kukupata. Pia laana hurithiwa. unawea kurithi laana ya Ukoo. na hii inafuatilia nasaba. lakini pia unaweza kuangukiwa na laana ya mtu ambaye alikusudia ikakufuata wewe. inakujaje. pale mtu alielaaniwa kutokana na makosa yake mwenyewe akawa katika shida. ile laana inapokuja ikakukuta wewe ambaye uliamua kuwa tumaini la yule alie laaniwa kiasi kwamba unamuepushia adhabu ambayo aatumikia kihalali. kama mtu amelaaniwa shughulikia kwanza laana kabla ya kumsaidia unless kama ni vitu vya kawaida.
 
Kuna mtu alisema kabla hujawasaidia wale ombaomba wa barabarani hakikisha unafikiria mara mbilimbili, usikurupuke tu, utaishia pabaya, naanza kuunganisha dot...

Labda wengine walikuwa ni wachawi walioshindikana wakazidiwa na wenzao, wameharibika mwili na akili kwa laana, halafu wewe unasaidia kuzibeba
 
Kwanza ukae ukijua me ntauita ni uchawi kwamba kuna uchawi wa maneno,uchawi wa vifaa,uchawi wa tendo la ndoa na kadhalika na ukae ukijua kila mtu ni mchawi unaweza ukajikuta umemroga mwenzako bila kujua kutokana na maneno yko mwenyewe ngoja niishie hapa kwa today
 
laana ni imani tu ukiamini kuhusu laana lazima mtu hata akikutisha tisha utaogopa kwa sababu moyo wako umejazwa kuwa laana ipo imani ina nguvu sana hasa kama utajua jinsi ya kuitumia postive
 
Maneno yanakwnda mwilini na rohoni. Laana kama laana ni roho kwa hiyo ili iweze kumpiga mtu lazima inzie rohoni (katika ulimwengu wa Roho) halafu inajidhihirisha katika mwili. Laana ni halisi, ina nguvu na inafanya kazi. kuna laana zinazomuingia mtu hata pasipo kutamkia, mazingira kwa mfano kumtupa mazazi au kumdhalau mzee inaweza ukuletea laana. Pia laana inaweza kusindikizwa na matamshi. au pengine unaweza kuwa umefanya jambo linalostahili laana, ila yule mhusika anaweza kutamka maneno ya kuomba laana hiyo ibatilike na ikawa hivyo. pia laana inaweza kuja kwa vita. yaani mtu analazimisha kumlaani mtu wake au kumtamkia neno baya mtu bila hata kosa. kumbuka mwanadamu ana nguvu za Mungu nadani yake hata kama hamtii Mungu kwani Mungu alitupatia nguvu hizo. kuzitumia vibaya au vizuri ni maamuzi ya mhusika, unaweza kuamua kutamka laana na inaweza kumpata mtu kama mtu huyo pia hana ulinzi wa kimungu. kwani tunaambia Kama Mbayuayu katika kutanga tanga kwake, kadhalika Laana isiyo na sababu haimpati mwenye haki. ila ukikaa vibaya na Mungu wako hata laana za kutupia pasipo sababu zinazewa kukupata. Pia laana hurithiwa. unawea kurithi laana ya Ukoo. na hii inafuatilia nasaba. lakini pia unaweza kuangukiwa na laana ya mtu ambaye alikusudia ikakufuata wewe. inakujaje. pale mtu alielaaniwa kutokana na makosa yake mwenyewe akawa katika shida. ile laana inapokuja ikakukuta wewe ambaye uliamua kuwa tumaini la yule alie laaniwa kiasi kwamba unamuepushia adhabu ambayo aatumikia kihalali. kama mtu amelaaniwa shughulikia kwanza laana kabla ya kumsaidia unless kama ni vitu vya kawaida.

Umetoa maelezo ya kina sana.
 
Unaposoma sayansi ya utambuzi wa mwili tunaambiwa kuwa mwili unauwezo wa kujikinga na mashambulizi ya kiufahamu na usidhuriwe na nguvu yoyote toka nje ishu ya laana imekuwa na tafiti nyingi zenye majibu tofauti yaliyoacha maswali mengi, baadhi ya maswali hayo ni kama haya,

1.je mwili unaweza kujidhuru?

2. Je kuna nguvu gani kati ya mtoa laana na mlaaniwa?

3.je ukilaaniwa kwa jambo la uongo laana yaweza shika?

4. Je mtu baki anaweza kukulaani na ukalaanika?

5. Je jambo la haki linalaanika?

6. Je kuna nguvu gani katika maneno yatolewayo na mtoa laana?

Maswali ni mengi lakini tunaweza kujadili hayo machache kwanza.
mshana jr hebu leta majibu ya hizi hoja zako, naona watu wamekosa majibu.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu tunakusubiri utupe majibu

Kwanza kabisa laana ni roho! Laana ni pepo laana ni nguvu(energy) yanye uhai usiokamilika kwa maana ya mwili, lakini vilevile laana ni nguvu hasi yenye uwezo wa kuharibu tu na kuleta matokeo hasi siku zote!

Pili laana haina madhara kwa kitu kisicho uhai ni lazima kuwe na viashiria vya uhai hapo ndipo laana inaweza kufanya Nazi

Tatu laana chanzo asili mwenendo mwendelezo wake na hatimaye matukio yake vinabebwa na lugha au maneno iwe kwa kutamkwa au kwa kuandikwa! Maneno haya au maandishi ndio kibebeo cha hiyo roho/nguvu ya laana

Sasa swali la kwanza Je mwili waweza kujidhuru!?
JIBU ni hapana, mwili una ulinzi binafsi kwenye ulimwengu wa roho na was nyama kichachotokea ni kile kianzilishi cha laana na impact aliyonayo mtoa laana kwa mlaaniwa lakini kwa mazingira fulani

Mzazi kwa mfano ana connection ya moja kwa moja nawewe hivyo roho yake inapoumia na JAMBO LA HAKI roho na mwili havina uwezo wa kuzuia shambulizi lolote toka kwa mzazi

Swali la pili no nguvu aliyonayo mtoa laana kwenda kwa mlaaniwa
Tumeshafahamu kuwa laana ni roho na roho ni uumbaji hivyo uumbaji hauchezewi kwa namna yoyote ile
Kwahiyo linapotokea jambo lenye kuumiza uumbaji halo lazima laana ifanye kazi

Maswali matatu ya mwisho majibu yake hayatofautiani sana na majibu halo juu lakini pia kuna ile perception kwamba mtu aliwazalo ndio huwa kuna baadhi ya laana hutokana na sisi wenyewe na matendo yetu bila hata kulaaniwa na wengine hii ni kwakuwa roho yako mwenyewe inakuwa haikubaliani na matendo yako mwenyewe.....
Ngoja niishie hapa kwanza ili niruhusu maswali na ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Hii ni mojawapo ya laana ya maandishi lakini ina roho kwakuwa mwandishi aliandika kana kwamba anaongea na anaye mlaani

WRITTEN IN BLOOD

I act this spell upon you
From my whole heart,
Wishing you to never rest nor eat no sleep the rest part of your life

I hope your flesh will waste away and I hope you will never spend another penny I ought to have!!!

WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART

Laana ya namna hii imebeba roho ya kisasi chuki hasira na kila aina ya ubaya! Inawezekana kabisa mtoa laana hii hakuwa na ubavu wowote wa kumkabili mbaya wake hivyo akaamua kumalizia hasira zake kwenye laana hii
Na hata kama hajaandika kwa damu lakini tayari kwa maneno hayo hiyo hugeuka laana au kiapo cha maapizi ya damu
 
Kwanza kabisa laana ni roho! Laana ni pepo laana ni nguvu(energy) yanye uhai usiokamilika kwa maana ya mwili, lakini vilevile laana ni nguvu hasi yenye uwezo wa kuharibu tu na kuleta matokeo hasi siku zote!

Pili laana haina madhara kwa kitu kisicho uhai ni lazima kuwe na viashiria vya uhai hapo ndipo laana inaweza kufanya Nazi

Tatu laana chanzo asili mwenendo mwendelezo wake na hatimaye matukio yake vinabebwa na lugha au maneno iwe kwa kutamkwa au kwa kuandikwa! Maneno haya au maandishi ndio kibebeo cha hiyo roho/nguvu ya laana

Sasa swali la kwanza Je mwili waweza kujidhuru!?
JIBU ni hapana, mwili una ulinzi binafsi kwenye ulimwengu wa roho na was nyama kichachotokea ni kile kianzilishi cha laana na impact aliyonayo mtoa laana kwa mlaaniwa lakini kwa mazingira fulani

Mzazi kwa mfano ana connection ya moja kwa moja nawewe hivyo roho yake inapoumia na JAMBO LA HAKI roho na mwili havina uwezo wa kuzuia shambulizi lolote toka kwa mzazi

Swali la pili no nguvu aliyonayo mtoa laana kwenda kwa mlaaniwa
Tumeshafahamu kuwa laana ni roho na roho ni uumbaji hivyo uumbaji hauchezewi kwa namna yoyote ile
Kwahiyo linapotokea jambo lenye kuumiza uumbaji halo lazima laana ifanye kazi

Maswali matatu ya mwisho majibu yake hayatofautiani sana na majibu halo juu lakini pia kuna ile perception kwamba mtu aliwazalo ndio huwa kuna baadhi ya laana hutokana na sisi wenyewe na matendo yetu bila hata kulaaniwa na wengine hii ni kwakuwa roho yako mwenyewe inakuwa haikubaliani na matendo yako mwenyewe.....
Ngoja niishie hapa kwanza ili niruhusu maswali na ufafanuzi

Mind na imani inaweza tumika kuzuia laana. Maana akili zetu na mawaza yanaweza kuwa msingi wa kutuweka sehem sahihi au sehem pabaya, kama mtu haamin hizi ishu zinaweza kuwa na impact kwake……?
 
Cha kwanza na muhimu kuliko chochote ni roho lazima iwe hai na connection kati ya roho mbili au zaidi kwahiyo hata kama huamini lakini ile core ya uhai kama iko live na jambo hilo ni la haki basi hata kama huamini lazima kuathirika kupo kwa namna moja au nyingine
 
Laana ikisha shika, mtoa laana anaeza tengua laana hii kwa process zipi……?
 
Kwanza kama nilivyosema laana niroho ya kinyongo kisasi au kutoridhishwa na jambo au maamuzi fulani sasa cha muhimu ni mtoa laana kufuta kutengua au kufisha ile laana sasa taratibu huwa zinatofautiana kati ya makabila na makabila dini rangi au koo
 
mwili una ulinzi binafsi kwenye ulimwengu wa roho ina maana ulinzi huo unaweza kuzuia magonjwa?

mbona watu wanaumwa?

roho ni nini?
 
Magonjwa hayako kwenye ulimwengu wa roho ndio maana yanatibika na dawa

Roho ni uhai ni energy n
 
Oh nimepata elimu mpya kuhusu suala hili la laana.
Na imani nitazid kupata zaidi as mnavyozid kudadavua zaid
 
How Does the Placebo Effect Work?

Research on the placebo effect has focused on the relationship of mind and body. One of the most common theories is that the placebo effect is due to a person's expectations. If a person expects a pill to do something, then it's possible that the body's own chemistry can cause effects similar to what a medication might have caused. The Placebo Effect: What Is It?

LUPUS DEFINITION :
LUPUS is a chronic inflammatory disease that occurs when your body's immune system attacks your own tissues and organs. Inflammation caused by lupus can affect many different body systems — including your joints, skin, kidneys, blood cells, brain, heart and lungs.

Lupus can be difficult to diagnose because its signs and symptoms often mimic those of other ailments. The most distinctive sign of lupus — a facial rash that resembles the wings of a butterfly unfolding across both cheeks — occurs in many but not all cases of lupus.
Some people are born with a tendency toward developing lupus, which may be triggered by infections, certain drugs or even sunlight. While there's no cure for lupus, treatments can help control symptoms. Lupus Definition - Diseases and Conditions - Mayo Clinic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom