Habari,
Kwa Wale Wanaofahamu Kuhusu Mada Zangu Basi Hii Ni Random Inayoendelea Na Chakras
"Maajabu Ya Koo La Chakula Au Kidaka Tonge"
"Hapo Mwanzo Kulikuwako Neno, Nae Neno Alikuwa Kwa Mungu...
Habari wanabodi,
ifuatayo ni mada mahususi kwa wale wanaosumbuliwa kwa kuondokewa na watu mfano mzazi,ndugu au rafiki
Nimeamua kuelezea trick hii kidogo ili iwe mfano kwa wengine watakao hitaji...
Aportation:
(kuhamisha maada (kitu) na kuidhihirisha upande mwingine)
Apportation:
ni moja kati ya aina ya nguvu za miujiza ambayo hii humuwezesha mtu kutoa kitu kutoka upande mmoja kwenda...
KUANDIKA KWA KUONGOZWA NA ROHO:
Kuandika:
ni pale mtu anaposhika kalamu na chochote chenye kuwezekana kuandikwa na kuandika chochote anachojiskia
Kuandika kwa kuongozwa na roho:
ni paleambapo...
Je, hivi unadhani kwamba tupo peke yetu katika ulimwengu mzima? HAPANA
Kuna bilioni mia ya nyota zilizopo angani ambazo nazo karibu zote huwa kama zimezunguka Sayari moja ambapo nyota hizo...
Yakuti ya njano (Yellow Saphire)
Yakuti ya njano ni moja kati ya mawe yanayo thaminishwa sana katika ulimwengu wa kiroho kwa faida nyingi za kimwili na kiroho, hasa katika maisha ya kila siku ya...
MARADHI YASIYOONEKANA HOSPITAL
Katika mada hii nitakufundisha ni yapi maradhi ya sehemu za mwili ambapo mashetani wakikukumba wanaanza kusumbua na kukutesa kisiri siri kwa kujua au bila kujua...
JIWE LA AKIKI
Katika makala hii nitakuelezea kuhusu kito chenye nguvu za miujiza zilizojificha ndani yake na baraka Kito cha Aqeeq faida zake ni nyingi na kipo katika historia mbalimbali na...
Jaribu kujichunguza kwa kina kisha jiulize kwani mimi ni nani na natoka wapi na naelekea wapi nje ya mahitaji yangu ya msingi kama kula, kuvaa, makazi, familia,saikolojia, ulinzi, kutambuliwa n.k...
Matendo ya mwanadamu yamegawanyika katika makundi mawili nayo ni matendo ya Nuru (Good Deeds) na matendo ya Giza yani (Evil Deeds).
Evil Deeds - Actions that are intended to harm others and vice...
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.
Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa...
๐๐ฌ ๐ข๐ญ ๐ง๐จ๐ญ ๐๐ง ๐ข๐ง๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ญ ๐ญ๐จ ๐๐จ๐ ๐ญ๐จ ๐ซ๐๐๐ฎ๐๐ ๐๐จ๐ ๐ญ๐จ ๐ฆ๐๐ง?
1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25)
2. God eats and drinks (Matthew 26:29)
3. God rests (Genesis 2:1-3)
4. God is sleeping...
Wasaalaam
Katika dini hizi kuu (Abrahamic) hakuna pande yoyote inayokataa uwepo wa Mtoto wa Mariamu Yesu wa Nazareth , historia na hadithi za maisha za Yesu/Issa zipo katika upande wa Dini kuu...
Wasalaam wakuu
Pope Audiance Hall
Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji...
Salaam wanabodi,
Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini...
JITAMBUE:
Habari wakuu,
Natumaini nyie wote ni wazima wa afya na mnaendelea vema katika mambo yenu ya hapa na pale ambayo yanaendelea kuwatesa na kuwapumbaza katika maisha.
Leo nataka...
Wasaalam,
Uvumii huu uliibuka zaidi mwaka jana
Vyombo vya habari vya serikali vilitoa picha na video zikimuonyesha Raisi huyo wa korea kaskazini katika kiwanda cha mbolea ,
Huku wakati ule...
Ulimwengu wote kwa jinsi ulivyo unamtegemeano wa moja kwa moja kwa kila kilichomo huwa na mwingiliano na chenzake "kutegemeana kimazingira".
Hivyo basi kama haishivyo chawa au kupe juu ya ngozi...
Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita.
Viumbe hawa wana tabia kuu mbili;
Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa...
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa...