Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by impongo, Jan 2, 2017.

 1. impongo

  impongo JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2017
  Joined: Feb 18, 2015
  Messages: 2,532
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

  Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

  Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

  Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

  [}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

  }}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

  }}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

  Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

  Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
  Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
  (hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

  Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

  Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

  Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

  Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

  Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

  Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

  Karibuni
   
 2. moghasa

  moghasa JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2017
  Joined: May 7, 2013
  Messages: 982
  Likes Received: 1,048
  Trophy Points: 180
  Vp wewe ni Mungu au malaika wake mbona unasema kama unamamlaka fulan hivi amaizing!!
   
 3. Mckenna

  Mckenna Member

  #3
  Jan 3, 2017
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Mimi hata sijamuelewa kitu
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2017
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2017
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Kaeleza yale ambayo kuna mtu mmoja huwa anadai alikuwa jesuit akaasi, na ndipo akatoa siri za vatcan. Miongoni mwa siri hizo ni ya uislamu kuanzishwa na Vatcan. Unaweza pita hapa kuangalia zaidi.
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jan 3, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhhh yaani kila nikiingia JF ndani ya hizi wiki mbili lazima nione kitu kuhusu kanisa katoliki.

  Na hii mada mkuu haina kichwa wala miguu.
   
 7. M

  MasterGamaliel JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 212
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  How Is the World Diverted and Controlled!
  (Waliopewa upeo mkubwa saana kujua mambo kuzidi wengine wamesababisha haya yote )

  miaka si mingi iliyopita hapa Tanzania ilisikika kuwa mtoto mwenye akili nyingi katika jumuiya zenye wakatolic na akawa ni mkatolic kulikuwa na mpango wa kumchukua huyu na kumwendeleza kielimu kwenye shule za Mission kwa ajili ya matazamio tegemeo.
  Siku hizi sisikii sana sijui wame-adopt mhinu gani tena!!
   
 8. Ramea

  Ramea JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2017
  Joined: Mar 19, 2015
  Messages: 1,275
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Hii mada sijaielewa kabisa, labda nidelete mafaili yote kichwani then nije kuisoma tena.
   
 9. Mkwawe

  Mkwawe JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2017
  Joined: Jun 10, 2016
  Messages: 969
  Likes Received: 1,737
  Trophy Points: 180
  HAHAHA HAWA JAMAA NILISHAWADHARAU KITAMBO, YANI WALEVI WA FIKRA, MSIKASIRIKE JAMANI WACHEKENI NA KUWAONEA HURUMA!
   
 10. mtzmweusi

  mtzmweusi JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2017
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 4,230
  Likes Received: 2,700
  Trophy Points: 280
  uko sahihi mkuu quran iliandikwa kwa msaada wa jesuits wale ndo waandishi wa kitabu hicho na sio kama waislam wanavodai ilishushwa
   
 11. joseph leonidace

  joseph leonidace JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2017
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 458
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80

  hapa sasa ndo unavyo jidhihilisha ujinga wako na upumbavu wako

  "qoumor niner"
   
 12. k

  kitakacho Senior Member

  #12
  Jan 3, 2017
  Joined: Jan 17, 2014
  Messages: 152
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Sio kosa lako kwa kuwa Uislamu wenyewe huujui. Mada yako haieleweki pia.
   
 13. joseph leonidace

  joseph leonidace JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2017
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 458
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80

  hii ni kwa mujibu wa akili zako ambazo bila shaka ni katika wake watanzania wanne wawili vichaa basi we mmoja wapo

  qumor weee
   
 14. T

  Tabby JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2017
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,884
  Likes Received: 5,477
  Trophy Points: 280
  Hivi mtu akizungumza kitu kwa confidence anakuwa Mungu? Imeandikwa wapi mkuu? Ninachojua, Mungu ametoa Mamlaka mengi na ya aina mbali mbali kwa WALE WAMWAMINIO NA KUMWABUDU KATIKA ROHO NA KWELI.

  Ninashauri ukubali kuwa mwanfunzi wa Yesu. Ujifunze kwake yeye ambaye ni mnyenyekevu na mpole ambaye mzigo wake ni mwepesi na nira yake ni laini.

  Ukiijua kweli, kweli itakuweka huru, na kweli ikikuweka huru, utakuwa huru kweli kweli!.

  DINI ISIYOKUWA NA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI INAKUSAIDIA NINI ZAIDI YA KUWA MLINZI WA MASLAHI YA WATU WACHACHE WANAONUFAIKA NA MFUMO HUO WA DINI?

  KIPI NI KIZURI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO, DINI AMA IMANI?

  IMANI ISIYOKUSAIDIA WALA KUKUFUNGUA, INA FAIDA GANI ZAIDI YA KULISHA NA KUFURAHISHA MASHETANI? MASHETANI AMBAYO MWISHO WAKE NI KATIKA ZIWA LA MOTO NA WAFUASI WAKE WOTE?

  Ni vizuri kukubali kujifunza, ukaelewa na ukachallenge kwa hoja badala ya kuchallenge kwa emotions.

  BY THE WAY, NINAOMBA TUJADILIANE MIMI NA WEWE. 'UKATOLIKI WA RUMI NAO NI UKRISTO?" Hii ndiyo iwe agenda yetu kuelekea tafakuri ya mada kwamba urumi ulianzisha controversial faith kwa hila na nia y akutimiza azma yake.
   
 15. T

  Tabby JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2017
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,884
  Likes Received: 5,477
  Trophy Points: 280
  Na wewe unadini? Dini yako ni ipi? Inamwamini Mungu au ni imani ya ufuasi wa kinachosemwa ambacho si cha Mungu? Hiyo dini ndiyo inakufundisha kuishi maisha ya kutukana watu matusi ya hivyo badala ya kuelezea habari ya tumaini lako? Kama huna tumaini na unachokiabudu na kukiamini hukijui, utashi wako ni upi? Ni kwamba watu wote waishi katika giza kama wewe halfu wakijidanganya wana Mungu ili mwisho wake iweje?

  Ningefurahi kama ungemwambia ni mpumbavu, mjinga au lolote lile linalolingana na ulivyomwelewa kwa kumaanisha kwamba anahitaji msaada wa kiufahamu hata kama hajitambui. Au kuonyesha kwamba hafai hata kunena kwa kuwa anayoyanena hayako katika kiwango chochote cha mtu anayemfahamu Mungu kulilko hilo tusi unalotukana. Unadhihirisha kabisa wewe ni mfuasi wa ibilisi shetani moja kwa moja. Jielewe.
   
 16. s

  succinate coA hydrogenase Senior Member

  #16
  Jan 3, 2017
  Joined: Dec 30, 2015
  Messages: 180
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  Kapitie nondo zako vizuri ndio uwe unaanzisha uzi wa kupotosha watu.....kosa dogo ulilolifanya kuonesha hukielewi unachokiandika ni tafsiri ya Roman Catholic sio Kanisa la rumi.... Siku nyingine ukitaka kuwadanganya wanaojua zaidi yako jipange sana
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2017
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Wala sikushangai nnajuwa ni shule uliyoenda ndiyo ilikusomesha ujinga.

  You are simply an uneducated fool from an uneducated school.
   
 18. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2017
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Sasa mkuu, hao kwenye red mbona walianzisha hicho chama mwaka 1544, wakati huo uislamu ulianza miaka ya 600? Unamaanisha kitabu kitukufu kiliandikwa kuanzia mwaka 1544? Na kama ni hivyo, inamaana waislamu walitumia nini kama kiongozi cha imani yao kabla kitabu kitukufu hakijaandikwa?
   
 19. Mama_Aheshimiwe

  Mama_Aheshimiwe JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2017
  Joined: Feb 6, 2014
  Messages: 1,751
  Likes Received: 2,021
  Trophy Points: 280
  Nimekuelewa sana mtoa mada

  Hatuwezi kuita RC kuwa nao ni wakristo maana baada ya kuasi Mungu aliliacha kanisa hili na kukabidhi wengine fimbo ya wokovu itakayowarudisha watu kama nyakati za kanisa la kwanza katika utakatifu wake

  Nasisitiza na mimi,RC ni genge la waliojifunga na waliofungwa wote vipofu hakuna ajuae hatma ya imani yake ni mkumbo unaowapeleka tuu
   
 20. d

  dddy Member

  #20
  Jan 3, 2017
  Joined: Dec 15, 2016
  Messages: 13
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 5
  Soma tena mm nimemuelewa au fatilia historia ya udini
   
Loading...