Kwa mujibu wa Qur'an,bnadamu wote,wameumbwa kutokana na udongo mweusi.
Kwa maana binadamu wa mwanzo,aliumbwa kutokana na udongo mweusi. Kwa hiyo Mtu mweusi ndio,baba mzazi wa binadamu wote.
Na...
Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katokato ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi...
Wakuu merry chrismass.
Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.
kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa...
Baada ya kuona nyuzi kadhaa kuhusu IVF kuna mdau aligusia project ya ECTO LIFE (artificial womb) nikawa interested kufuatilia na kujua baadhi ya mambo
-Ipo kweli na imefanikiwa ?
-inafanyaje...
Asilimia kubwa ya jamii ya mwanadamu inaamini kuna maisha baada ya kufa na kuna sehemu inaitwa mbinguni ambapo watu wataishi tena baada ya maisha yao kufikia mwisho hapa duniani.Hii ndio hufanya...
Lazima kuwe na sababu kwa kipi kinapelekea kwenda huko na kina manufaa gani.
Zipo sayari nyingi na zipo zina fanana na dunia kabisa ila kuzifikia ni kuboresha anga ya usafiri kufika kwa wakati...
Hello 👋👋, habari za mida.
Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni...
Habari wana Jf poleni na Majukumu ya kazi, Naomba niende Moja kwa Moja No
1 point.
Hapo kabla Babu zetu walikua na namna wanavyoomba na kiimani Yao walikua wanafanikiwa ambavyo inajulikana kama...
Wana Jamii naombeni msahada mtaalamu wa kuvunja mizimu na madhabahu za Koo za Kichaga.
Mm ni mwanaume wa miaka 33, Mchaga wa Kilema, Mlo,
Lakini chagamoto kuu ni kushikiliwa na Madhababu ya...
Peace be upon you
Let's go straight into the topic.
Did non-human animals have Souls? Yes, they have it.
We can try to analyze it through two definitions of the word "Soul".
1. Soul - is the...
Habari za muda mrefu, wakuu. Majukumu ya hapa na pale yameniweka mbali sana na humu. Nimekuwa mtu wa kuingia kusoma nyuzi na maoni ya watu bila kushiriki. Ila leo nina maswali mawili tunaweza...
Wadau nawasalimu
Je Umewahi Kujiuliza kwanini MUNGU aliamua MTU AKIFA azikwe na asichukue kitu chochote alichokuwa nacho Duniani?
Je Angeruhusu unadhani ingekuwaje?
Je Unadhani Binadamu...
Naomba majibu kulingana na ufahamu wako wa kumjua Mungu, wale walio kufa ikifika Muda wa hukumu judge atatoa hukumu ya Moto wa Jehanamu kwa watu wenye sifa zipi na Watakao ona pepo au watakao...
Nanukuu kutoka kitabu cha KUMBKUMBU LA TORATI FUNGU LA 28:
1 Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu...
Pengine wengine wanaweza kujiuliza nini maana ya Pentateuch. Pentateuch au "Πεντάτευχος" limetokana na lugha ya kiyunani yaani kigiriki linalomaanisha "penta" (πεντά au πεντά) yaani tano na...
Kwa nini? Kwa mtazamo wa kwanza, inaonekana kama nambari ya kawaida. Lakini hadithi nyingi na imani zinahusishwa nayo. Mtu anaamini kabisa kuwa 13 ni nambari isiyo na bahati. Kwa nini? Hii...
Bonjour wana JF,
Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.
Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata...
Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu
Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.