Kwanini Waadventista Wasabato hamuipendi historia yenu halisi kabla ya 1863

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Waadventista Wasabato ni Wakristo Waadventisti wa madhehebu yanayosisitiza ujio wa pili wa Yesu yakisema uko jirani kutokea na kwamba utawahi wafuasi wake wakishika Sabato, si Jumapili.

Kati ya makundi yaliyoanzishwa Marekani baada ya utabiri wa William Miller kwamba ujio huo eti, utatokea tarehe 22 Oktoba 1844, lililoenea zaidi ni lile la Waadventista Wasabato (mwanzo rasmi mwaka 1863) ambalo kwa sasa lina waumini zaidi ya 17 milioni duniani kote
78af99e309cf46fdebf50dfda0cc8ff5.jpg
502417f43b1a04b24f990001c4964598.jpg
42a63c7eabd7a4e3d7af4b241b4efec4.jpg
b9d0de27004154fed2fe8c7a59659ad7.jpg
 
Vip ya kwako unaipenda? Vip baada ya Paulo kuondoka? Umeijuua kweli au umerisishwa tu imani?
 
Sasa mkuu je ni unawalazimosha walikubali historia yao ambayo wao wamesema sio ya kweli Mmmh napata mashaka
 
Ukweli ni kwamba wasabatho ni kati ya makanisa yanayofanya refomation ndani yao kwa kasi kubwa sana, kama umejifunza imani ya wasabatho inakubidi ucross cheki na kile wanachoamini kwa sasa
 
Waadventista Wasabato ni Wakristo Waadventisti wa madhehebu yanayosisitiza ujio wa pili wa Yesu yakisema uko jirani kutokea na kwamba utawahi wafuasi wake wakishika Sabato, si Jumapili.

Kati ya makundi yaliyoanzishwa Marekani baada ya utabiri wa William Miller kwamba ujio huo eti, utatokea tarehe 22 Oktoba 1844, lililoenea zaidi ni lile la Waadventista Wasabato (mwanzo rasmi mwaka 1863) ambalo kwa sasa lina waumini zaidi ya 17 milioni duniani kote
78af99e309cf46fdebf50dfda0cc8ff5.jpg
502417f43b1a04b24f990001c4964598.jpg
42a63c7eabd7a4e3d7af4b241b4efec4.jpg
b9d0de27004154fed2fe8c7a59659ad7.jpg
Ulipaswa uandike hiyo historia... Halafu ndio uwaulize.... Kwa uzi huu nikama soga mana historia ni nyingi nyuma ya hapo za S. D. A..... Wewe sema hiyo historia unayo hisi S. D. A hawaipendi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom