Mfahamu Kelvin Bokai Doe, aliyeishangaza dunia

Quimica

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,029
1,254
Habari za Usiku wana Jamii Forums !!Hope wote ni wazima wa Afya. Ushawahi kuskia chuo kinachoitwa MIT (Massachusetts institute of Technology)?

Bas nikujuze kwamba MIT Ni miongoni kati ya Vyuo Bora kabisa duniani ,kinashika nafasi ya kwanza au ya pili(World Ranking ya mwaka 2019 -2021)kati ya vyuo vyote duniani ambavyo vipo zaid ya elfu thelathini.

Zaid ya asilimia 80 yanafunzi wanaoenda kusoma MIT wana IQ (Intelligent Quotient ) Score zaid ya 140 yaan Magenius wakutupwa , ambapo MIT kinadeal sanasana na Enginnering.
Genius namaanisha wenye vipawa Sio wale wanaokariri hapana bali wale waliozaliwa na kipawa cha kudevelop innovative ideas,
Na huwa Geniuses wengi Hawajisomei Kabisa yaaan anajua Tu From Nowhere.

Sasa Kuna Kijana mmoja Anaitwa Kelvin Boe AKA" DJ focus "ambaye ni Raia wa Sierra Leon (magharibi mwa africa )!aliyetoka kwenye familia ya kimaskini sana ambaye Alitafutwa na MIT then akachukuliwa akiwa na miaka 13 Due to his supervaliance Intellects(kutokana na uwezo wake waajabu).

Alijifunza mwenyewe basics za umeme akiwa na umri wa miaka 12 tu akatengeneza radio station ,generator, batteries, FM transmitter, sound amplifier, three-channel mixer na mic receiver kutoka kwenye taka taka na ujuzi wake binafsi (alivitengeneza kwa namna yake ya kipekee ambayo haijawahi kuonekana )MIT wakamtafuta akaenda MIT.

"His accomplishments and amazing experience were documented and went viral. Kelvin's journey inspired millions around the world and was, by all accounts, also watched by the then President of the United States, Barrack Obama.
Kelvin, with his team, managed to win the Global Minimum's Innovate Salone Competition in 2012. This was the inaugural school innovation challenge in Sierra Leone. His success saw him selected to travel to the United States in 2012. Whilst there he was invited to speak at the "Meet the Young Makers" panel for the World Maker Faire in 2012 in New York.
He also became the youngest ever "visiting practitioner" for the MIT International Development Initiative. Whilst at MIT Kelvin presented his inventions to students in two D-Lab classes. He also engaged with community members at MIT and participated in hands-on research at the MIT Media Lab. Doe also lectured at some undergraduate engineering classes at Harvard College"

Nanukuuu Mstari wa mwisho Ukieleza kwamba kutokana na Uwezo wake mkubwa akawa anaenda kufundisha wanafunzi wa chuo namba moja Duniani Yaan Havard.

WHERE IS HE NOW(YUPO WAPI SAIVI? )
Kwa sasa mtu kubwa duniani (alishaandikwa mpaka kwenye Jarida la Forbes ,anakampuni yake na anaishi Ontario ,Canada .na amezindua Taa Zake zinazoitwa Kdoe light ambazo zimetengenezwa na omniovoltaic cells ambazo hizo Kdoe Light Zinauwezo wa kuzalisha Solar light(kama touch) pamoja Na Kucharge simu with 165-lumen output and 30 hours of runtime at 25 lumens.

Maestro de Quimica !!OP
20210917_014604.jpg
20210917_014608.jpg
20210917_014613.jpg
20210917_014616.jpg

View attachment 1941193

Screenshot_20210917-014431_Twitter.jpg
 
Maestro de Quimica !!OPView attachment 1941188View attachment 1941190View attachment 1941189View attachment 1941191
View attachment 1941193

View attachment 1941192
Interesting
 
Tanzania tunaamini kwenye mfumo wa vyeti ndipo usikilizwe.

Kama huna one utaulizwa kama una akili ulishindwa nini kuipata.

Nahisi kuna ujinga mkubwa sana kuanzia kwa wasomi wetu maprof. hadi watu wa kawaida washangiluaji.Lini tutajua kuna watu wanatoa lecture university wakiwa hawajasoma shule?
Wapo hila wanakosa support ,kuna Uzi mmoja ntauleta Rafk yangu mmoja anauwezo mkubwa sana wa masuala ya Computer
 
Halafu wazungu ni watu tofauti sana,mimi niliona muuguzi mkunga hana hata degree akialikwa kutoa lecture kwenye university mbali mbali nchi za Scandinavia kutokana na ujuzi wake na uzoefu wa miaka mingi.Na hiyo ni kwa sababu wao hawana mtaalamu mmoja anayezalisha watu wengi kama ilivyo kwetu.
 
Nzuri
 
Ila hii kibongo bongo never Mkuu
 
W
Tanzania tunaamini kwenye mfumo wa vyeti ndipo usikilizwe.

Kama huna one utaulizwa kama una akili ulishindwa nini kuipata.

Nahisi kuna ujinga mkubwa sana kuanzia kwa wasomi wetu maprof. hadi watu wa kawaida washangiluaji.Lini tutajua kuna watu wanatoa lecture university wakiwa hawajasoma shule?
Well said Mkuu
 
Kwel Mkuu ,Vyeti vinaeshimiwa wakat Vijana hawapoexposed
 
Bongo miyeyusho mingi,yaani uwe huna cheti halafu unavumbua kitu ambacho mtu na cheti chake hajawahi kuvumbua chochote lazima akuonee donge na kukutisha kuwa yupo mmarekani ameshavumbua hiko kitu kitambo wewe umemuibia wazo huyo mzungu huna ulijualo na ukiendelea na wazo lako utafunguliwa mashtaka,halafu anakuibia wazo lako. Kama ukivumbua kitu jitangaze kwenye mitandao ya kijamii wao ndio wakutafute ukijipendekeza kwenda mwenyewe wanakuchinjia baharini
Nalog off
 
Hivi vijana wa aina hii hapa nchini kwetu wapo kweli?...
wapo mkuu yupo jamaa yangu flani hivi pande za Njombe aisee jamaa ni Ginius wa ajabu yaani hua nashangaa anaweza kusuka inverter,transiformer,amplifaya
radio,transimiter
Na mavitu kibao ya umeme na hajasoma popote secondary kwenye maabara ya physics aliacha makolo kolo ya kutosha aliyoyatengeneza na kuacha kama alama
Cha ajabu sasa jamaa ni inteligent balaa kupitia yeye ndio niliwajua kina Tesla & Co kiundani

Hilo getto lake sasa lina makololo kibao hakuna kitu cha kieletronic hatengenezi yani kwenye ukuta kajaza formula za kila namna yaani kama unataka fuma sabuufa anakuonesha mfumo wake wote

Ila cha ajabu tupo naye kitaa sababu nchi yetu tunaijua wenyewe ila jamaa yupo njema sana ikitokea mdhamini aende mambele tutamsahau ndani ya wiki genius haswa!
 
Back
Top Bottom