Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Utulivu ni muhimu kwenye nafsi zenu wote. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Wajuzi wa mambo wanasema ukweli unashangaza sana kuliko uhalisia wa mambo. Asilimia 100% ya vitu vinavyo tuzunguka...
40 Reactions
172 Replies
28K Views
Je, Unataka Kupima Nguvu Zako Za Ziada? Mind power? Fanya hivi: Mahitaji: 1: Sauti Iliosawia Ya Kwako 2: Taa au Mshumaa Fuata Yafuatayo Utaweza Kuwasha Na Kuzima Mshumaa Kwa Nguvu Ya Fikra...
19 Reactions
417 Replies
72K Views
Mungu wa biblia, Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima! Katika kitabu hicho kimenadi...
9 Reactions
163 Replies
12K Views
Inawezekana katika kupita pita kwako kwenye mitandao umekuta jini huyu kazungumziwa sana lakini si kwa uwazi zaidi ya kuwa ana hakikisha ushindi kwako katika michezo ya kamari, Hapa nitakujuza...
22 Reactions
157 Replies
42K Views
Habari wanaJF, Katika Mwanzo 2:7, Adamu 1 aliumbwa kwa udongo na mavumbi, katika warumi 8:23 kitabu kinasema kuwa sisi sote tulikuwa malimbuko ya Roho na Nafsi ambayo inaugua na ina mwili (yaani...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Salute Siku moja nilikua naangalia TV chanel moja ya watoto inaitwa Da Vinci Learning ya wayoto nikaona kipindi kimoja kinaitwa Thomas Edison Laboratory:Father of invetion asee nilighafirika sana...
48 Reactions
228 Replies
36K Views
Baada ya mamilioni miaka kadhaa ya vita ya nuclear ambayo ilihusisha Allies tofautitofauti( vita hiyo ndiyo iliua wanyama wakubwa kama dinosaurs etc) achana na habari za kuanguka kwa kimondo kama...
2 Reactions
3 Replies
827 Views
Jina huathiri muktadha, asili, chanzo na uhalisia wa kitu..... Kitabu cha MWANZO katika Biblia takatifu ndicho kitabu msingi kinachosomwa zaidi duniani... Tena na imani na dini zote... Nukuu na...
67 Reactions
429 Replies
57K Views
  • Closed
Kuna vijana wengi wanataka kuwa ‘masiya wa kisiasa’ wa Tanzania. Yaani wanataka kuikwamua Tanzania kutoka kwenye matatizo yake ya muda mrefu. Ili vijana hawa wasifanye makosa, ni vizuri wakajua...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini wana JF. Mungu ni mwema. Anaokoa na anajibu. Muombeni yeye pekee. Kila kitu kinawezekana kariba jina la Yesu
15 Reactions
100 Replies
27K Views
Majo yote tunayoyaona hapa duniani yana umri mrefu sana kuliko hata mifumo mengine ya nyota kama ulivyo mfumo wetu wa Jua hapa na maana kwamba hata mfumo wetu wa Jua unaumri mdogo kuliko maji haya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika makala hii nitazungumzia nguvu nyingine ya muujiza moja kati ya nguvu za miujiza walizonazo watu wengi ambayo ni Clairvoyance; Hii ni moja kati ya nguvu za miujiza ambayo wenye nayo...
8 Reactions
55 Replies
10K Views
HYPNOSIS Katika makala hii nitakueleza kwa uchache kuhusu Hypnosis nikiwa na maana kupangua na kuhama kutoka sehemu moja ya fikra kwenda nyingine. Kwa Kuanza; Hypnosis ni rejea Inayohusu au...
14 Reactions
92 Replies
28K Views
Jinsi Ya Kujitibu Maumivu Popote Mwilini: Kwa nguvu Ya Fikra... Ikiwa Ni Maumivu Kawaida Au Ya Kichawi.. Jambo! Ni Rakims Tena Na Power Of Subconscious Mind.. Nguvu Ya Ubongo Wako Sehemu Ya Siri...
21 Reactions
214 Replies
47K Views
Habari, Kwa Wale Wanaofahamu Kuhusu Mada Zangu Basi Hii Ni Random Inayoendelea Na Chakras "Maajabu Ya Koo La Chakula Au Kidaka Tonge" "Hapo Mwanzo Kulikuwako Neno, Nae Neno Alikuwa Kwa Mungu...
2 Reactions
42 Replies
16K Views
Habari wanabodi, ifuatayo ni mada mahususi kwa wale wanaosumbuliwa kwa kuondokewa na watu mfano mzazi,ndugu au rafiki Nimeamua kuelezea trick hii kidogo ili iwe mfano kwa wengine watakao hitaji...
30 Reactions
322 Replies
122K Views
Aportation: (kuhamisha maada (kitu) na kuidhihirisha upande mwingine) Apportation: ni moja kati ya aina ya nguvu za miujiza ambayo hii humuwezesha mtu kutoa kitu kutoka upande mmoja kwenda...
10 Reactions
101 Replies
22K Views
KUANDIKA KWA KUONGOZWA NA ROHO: Kuandika: ni pale mtu anaposhika kalamu na chochote chenye kuwezekana kuandikwa na kuandika chochote anachojiskia Kuandika kwa kuongozwa na roho: ni paleambapo...
6 Reactions
7 Replies
6K Views
Je, hivi unadhani kwamba tupo peke yetu katika ulimwengu mzima? HAPANA Kuna bilioni mia ya nyota zilizopo angani ambazo nazo karibu zote huwa kama zimezunguka Sayari moja ambapo nyota hizo...
14 Reactions
188 Replies
31K Views
Yakuti ya njano (Yellow Saphire) Yakuti ya njano ni moja kati ya mawe yanayo thaminishwa sana katika ulimwengu wa kiroho kwa faida nyingi za kimwili na kiroho, hasa katika maisha ya kila siku ya...
2 Reactions
79 Replies
25K Views
Back
Top Bottom