Ukweli kuhusu kafara ya kumwaga damu

Ukweli kuhusu kafara ya kumwaga damu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,466
Tunaposoma kwenye biblia, kafara inatafsiriwa kama ishara ya utakaso na msamaha wa dhambi au kufanya mambo ambayo kwa hali ya kawaida haiwezekani isipokua kwa kumwaga damu .

Yesu alitolewa kafara, damu yake ikamwagika hili sisi tupone na tuondolewe dhambi na tutakaswe kwa roho mtakatifu, na ndio maana wakristo wengi wanaithamini damu ya Yesu .

Kinachonishangaza why Leo hii kafara zikitolewa kwa ajili ya kitu flani inaonekana ni dhambi kubwa sana na Jambo la kuogofya ilihali miaka iliyopita watu walikua wanatoa kafara kibao , za mbuzi ng'ombe kama sadaka za kuteketezwa?

Mungu mwenyewe alimwambia abraham amtoe mwanae wa pekee isaka kama Sadaka ya kuteketezwa ingawaje baadae aliingilia kati na kumkataza asimchinje mwanae na badala yake achinje kondoo

Swali ninalojiuliza, kuna siri gani iliyojificha nyuma ya kafara ya kumwaga damu ? Iwe ya mbuzi, kuku ,ng'ombe au binadamu. Kwa nini watu wengi wanapotoa kafara ya damu wanafanikiwa sana ? , kuna Siri gan iliyojificha nyuma ya kafara? Maana tu naona hata kwenye biblia miaka hiyo kafara zilikua zikitolewa na lilikua Jambo la kawaida lakini Sasa hivi ni haramu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siyo haramu mkuu watu wakikuona una kichwa kizuri lazima wakupigie pesa tu

CC Zero IQ
 
Kiongozi huwa ipo hivi.
HAKUNA kitu ambacho kina Nguvu kama Sadaka. japo sadaka yaweza kuwa ya Aina Tofauti kutokana na Dhumuni la Mtoaji.
lakini Moja ya sadaka zenye Nguvu ni hiyo Sadaka Ya kuchinja (Sadaka ya Damu).

lakini unapaswa kutambua,Sadaka huwa zinaweza kwenda sehemu kuu mbili inategemea na mtoa sadaka,Kwa jinsi ya Imani Yake na Misimamo Yake/Nia ya hiyo Sadaka na Manuizi.

1)Kuna sadaka ambayo huwa inatolewa na kwenda kwa Mungu Mkuu.

Hii Ni Aina ya sadaka ambayo,Watu Huitoa na kuipeleka, kwa Mungu Mkuu au wengine huwa wanasema Mungu mwenyezi/Wa Mbinguni.

Kwa kuwa umezungumzia sadaka ya Damu/kuchinja nitaigusia hiyo.

Sadaka ya Damu Ni Aina ya sadaka ambayo hupatikani kwa njia ya kuchinja na kumwaga damu or kukatisha uhai wa kitu chenye uhai na damu.
Ni Moja Ya Sadaka Ambayo huwa INAWEZA kutolewa kwa minajili Kama
-Sadaka Ya Ukumbusho au Alama.
hapa yaweza kuwa Ni ukumbusho wa jambo Kati yako na Mungu .
hapa tunaona jinsi Mungu alivyomuambia mussa wachinje wanyama na damu ya wale wanyama waweke kwenye milango yao Kama alama,pindi atakapotokea malaika wa kifo Basi nyumba zao zisipitiwe na Umauti.

-Sadaka ya Ma Agano/Agano
Hapa tunaona jinsi,Ambavyo Ibrahim baada ya kuweka agano na kuongea na Mungu aliweza kumtolea sadaka za kutekezwa na kuchinjwa Kama ishara ya Agano lake na Mungu.

-Sadaka ya Kujitakasa na Maombi
Hapa tunaangalia jinsi,wakati Taifa la Israel lilipokuwa limekosea au kukosa chakula walikuwa wanatumia Aina Hii kama ishara ya kuomba Toba na Kuomba kitu ambacho walikuwa wanakosa..Hapa tunaona story ya Eliya na wale manabii wa bahari kuhusu Toba na swala la KUOMBEA mvua iliyokata

- LAKINI Pia Ni Moja ya sadaka
Ambayo huwez kutolewa kwa minajili ya manuizo/Manuizi.Au Msaada
Hapa tunaona jinsi Ambavyo Mfalme baada ya kuzidiwa kwenye mapambano alinuizia na kusema kwa Mungu endapo atamshindia Vita,Kitu Cha kwanza kukutana nacho Basi atakitolea sadaka na bahati nzuri Vita Alishinda lakini too badly Mtoto wake alijitokeza wa kwanza so ikamlazimu kumchinja (kumwaga damu Yake).

Nakadhalika.

Lakini nifupishe Habari
Kupitia Gharama na mengineyo. coz hii sadaka ilikuwa ina hatarisha maisha ya watu lakini pia ilikuwa Ina gharimu Sana maisha ya watu.
Ndipo Mungu mwenyezi ikamlazimu amtume Yesu Kristo kwa ajili ya kufanyika kafara na kupitia kafara ya Damu yake pale msalabani Basi kila ambaye ataliita Jina lake atapata nehema na wokovu.kama ilivyo leo hii

Kuna sadaka ambayo hutolewa na kwenda kwa Lucifer na miungu mengine.
Hii inahitaji Umakini na uziada wa kuielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sadaka hii inahitaji mwendelezo yaan ifanywe kila baada ya muda fulani tatizo linakuja babu yako. Kafanya na kafanikiwa na pia baba yako naye kafuata mkondo ule ule SASA tatizo linakuja kwa vijana wa sasa wamekuliaijini na hawajui na hapo ndo Damu inahitajika na huleta shida isipofanyika!
Dini za sasa zinakataza ila. Ule ni utamaduni toka enzi na enzi na isipofanyika huja na mabalaa mikosi kama vifo kufilisika na kutofanikiwa.
 
Ni.moja ya mawazo na maoni yako.

Japo hujasema wapi,nimedanganya

ila navyojua mimi.kupitia mauti ya msalaba hatuna hatia na haja tena ya kuchinja na kutoa sadaka.

isipokuwa kwa upande wa pili wale wanaotumia mali au wenye maagano na mashetani
mf.majini,waganga etc huwa wanatoa damu.
kupitia ajali, vifo fake etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaposoma kwenye biblia, kafara inatafsiriwa kama ishara ya utakaso na msamaha wa dhambi au kufanya mambo ambayo kwa hali ya kawaida haiwezekani isipokua kwa kumwaga damu .

Yesu alitolewa kafara, damu yake ikamwagika hili sisi tupone na tuondolewe dhambi na tutakaswe kwa roho mtakatifu, na ndio maana wakristo wengi wanaithamini damu ya Yesu .

Kinachonishangaza why Leo hii kafara zikitolewa kwa ajili ya kitu flani inaonekana ni dhambi kubwa sana na Jambo la kuogofya ilihali miaka iliyopita watu walikua wanatoa kafara kibao , za mbuzi ng'ombe kama sadaka za kuteketezwa?

Mungu mwenyewe alimwambia abraham amtoe mwanae wa pekee isaka kama Sadaka ya kuteketezwa ingawaje baadae aliingilia kati na kumkataza asimchinje mwanae na badala yake achinje kondoo

Swali ninalojiuliza, kuna siri gani iliyojificha nyuma ya kafara ya kumwaga damu ? Iwe ya mbuzi, kuku ,ng'ombe au binadamu. Kwa nini watu wengi wanapotoa kafara ya damu wanafanikiwa sana ? , kuna Siri gan iliyojificha nyuma ya kafara? Maana tu naona hata kwenye biblia miaka hiyo kafara zilikua zikitolewa na lilikua Jambo la kawaida lakini Sasa hivi ni haramu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Una uelewa mdogo wa biblia ndiomaana umeuliza swali ambalo kama ni hesabu tungesema umeuliza 1+1=?,nakujibu kwa mstari mmoja wa biblia ,Waebrania 10:14-24 inasema hv
"Lakini huyu, alipokwisha kutoa kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idumuyo hata milele, aliketi mkono wa kuume wa Mungu;
13 tangu hapo akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.
14 Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa."
Kafara ya damu alishaifanya Mungu pale msalabani akasema imekwisha,tulicho agizwa wanadamu ni kufuata tu njia aliyotengenezwa tayari kupitia yesu kristo na sio tena kutoa hayo makafara,hakuna tena kafara
ukisoma pia waebrania 10:10
" Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu."
Utachagua wewe sasa kufuata biblia inachosema au wachangiaji wanaokuunga mkono humu jf
 
Kiongozi huwa ipo hivi.
HAKUNA kitu ambacho kina Nguvu kama Sadaka. japo sadaka yaweza kuwa ya Aina Tofauti kutokana na Dhumuni la Mtoaji.
lakini Moja ya sadaka zenye Nguvu ni hiyo Sadaka Ya kuchinja (Sadaka ya Damu).

lakini unapaswa kutambua,Sadaka huwa zinaweza kwenda sehemu kuu mbili inategemea na mtoa sadaka,Kwa jinsi ya Imani Yake na Misimamo Yake/Nia ya hiyo Sadaka na Manuizi.

1)Kuna sadaka ambayo huwa inatolewa na kwenda kwa Mungu Mkuu.

Hii Ni Aina ya sadaka ambayo,Watu Huitoa na kuipeleka, kwa Mungu Mkuu au wengine huwa wanasema Mungu mwenyezi/Wa Mbinguni.

Kwa kuwa umezungumzia sadaka ya Damu/kuchinja nitaigusia hiyo.

Sadaka ya Damu Ni Aina ya sadaka ambayo hupatikani kwa njia ya kuchinja na kumwaga damu or kukatisha uhai wa kitu chenye uhai na damu.
Ni Moja Ya Sadaka Ambayo huwa INAWEZA kutolewa kwa minajili Kama
-Sadaka Ya Ukumbusho au Alama.
hapa yaweza kuwa Ni ukumbusho wa jambo Kati yako na Mungu .
hapa tunaona jinsi Mungu alivyomuambia mussa wachinje wanyama na damu ya wale wanyama waweke kwenye milango yao Kama alama,pindi atakapotokea malaika wa kifo Basi nyumba zao zisipitiwe na Umauti.

-Sadaka ya Ma Agano/Agano
Hapa tunaona jinsi,Ambavyo Ibrahim baada ya kuweka agano na kuongea na Mungu aliweza kumtolea sadaka za kutekezwa na kuchinjwa Kama ishara ya Agano lake na Mungu.

-Sadaka ya Kujitakasa na Maombi
Hapa tunaangalia jinsi,wakati Taifa la Israel lilipokuwa limekosea au kukosa chakula walikuwa wanatumia Aina Hii kama ishara ya kuomba Toba na Kuomba kitu ambacho walikuwa wanakosa..Hapa tunaona story ya Eliya na wale manabii wa bahari kuhusu Toba na swala la KUOMBEA mvua iliyokata

- LAKINI Pia Ni Moja ya sadaka
Ambayo huwez kutolewa kwa minajili ya manuizo/Manuizi.Au Msaada
Hapa tunaona jinsi Ambavyo Mfalme baada ya kuzidiwa kwenye mapambano alinuizia na kusema kwa Mungu endapo atamshindia Vita,Kitu Cha kwanza kukutana nacho Basi atakitolea sadaka na bahati nzuri Vita Alishinda lakini too badly Mtoto wake alijitokeza wa kwanza so ikamlazimu kumchinja (kumwaga damu Yake).

Nakadhalika.

Lakini nifupishe Habari
Kupitia Gharama na mengineyo. coz hii sadaka ilikuwa ina hatarisha maisha ya watu lakini pia ilikuwa Ina gharimu Sana maisha ya watu.
Ndipo Mungu mwenyezi ikamlazimu amtume Yesu Kristo kwa ajili ya kufanyika kafara na kupitia kafara ya Damu yake pale msalabani Basi kila ambaye ataliita Jina lake atapata nehema na wokovu.kama ilivyo leo hii

Kuna sadaka ambayo hutolewa na kwenda kwa Lucifer na miungu mengine.
Hii inahitaji Umakini na uziada wa kuielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Fafanua hii sadaka ya kwenda kwa lucifer mkuu

Ahsante , Mimi ni mwanafunzi ndio maana nimeuliza mkuu

Kuna kitu kikubwa sana kuhusu kafara, mtanisamehe sitazungumza hapa kwani kuna level mbalimbali za ukomavu humu ndani na pia jambo hili limebeba kuwajibika ‘taking responsibility ‘ inayotokana na ‘kujua ukweli ‘. Baadaye nitarashia kwa mbali sana.
 
Acha Mikwara na Mbwembwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi huwa ipo hivi.
HAKUNA kitu ambacho kina Nguvu kama Sadaka. japo sadaka yaweza kuwa ya Aina Tofauti kutokana na Dhumuni la Mtoaji.
lakini Moja ya sadaka zenye Nguvu ni hiyo Sadaka Ya kuchinja (Sadaka ya Damu).

lakini unapaswa kutambua,Sadaka huwa zinaweza kwenda sehemu kuu mbili inategemea na mtoa sadaka,Kwa jinsi ya Imani Yake na Misimamo Yake/Nia ya hiyo Sadaka na Manuizi.

1)Kuna sadaka ambayo huwa inatolewa na kwenda kwa Mungu Mkuu.

Hii Ni Aina ya sadaka ambayo,Watu Huitoa na kuipeleka, kwa Mungu Mkuu au wengine huwa wanasema Mungu mwenyezi/Wa Mbinguni.

Kwa kuwa umezungumzia sadaka ya Damu/kuchinja nitaigusia hiyo.

Sadaka ya Damu Ni Aina ya sadaka ambayo hupatikani kwa njia ya kuchinja na kumwaga damu or kukatisha uhai wa kitu chenye uhai na damu.
Ni Moja Ya Sadaka Ambayo huwa INAWEZA kutolewa kwa minajili Kama
-Sadaka Ya Ukumbusho au Alama.
hapa yaweza kuwa Ni ukumbusho wa jambo Kati yako na Mungu .
hapa tunaona jinsi Mungu alivyomuambia mussa wachinje wanyama na damu ya wale wanyama waweke kwenye milango yao Kama alama,pindi atakapotokea malaika wa kifo Basi nyumba zao zisipitiwe na Umauti.

-Sadaka ya Ma Agano/Agano
Hapa tunaona jinsi,Ambavyo Ibrahim baada ya kuweka agano na kuongea na Mungu aliweza kumtolea sadaka za kutekezwa na kuchinjwa Kama ishara ya Agano lake na Mungu.

-Sadaka ya Kujitakasa na Maombi
Hapa tunaangalia jinsi,wakati Taifa la Israel lilipokuwa limekosea au kukosa chakula walikuwa wanatumia Aina Hii kama ishara ya kuomba Toba na Kuomba kitu ambacho walikuwa wanakosa..Hapa tunaona story ya Eliya na wale manabii wa bahari kuhusu Toba na swala la KUOMBEA mvua iliyokata

- LAKINI Pia Ni Moja ya sadaka
Ambayo huwez kutolewa kwa minajili ya manuizo/Manuizi.Au Msaada
Hapa tunaona jinsi Ambavyo Mfalme baada ya kuzidiwa kwenye mapambano alinuizia na kusema kwa Mungu endapo atamshindia Vita,Kitu Cha kwanza kukutana nacho Basi atakitolea sadaka na bahati nzuri Vita Alishinda lakini too badly Mtoto wake alijitokeza wa kwanza so ikamlazimu kumchinja (kumwaga damu Yake).

Nakadhalika.

Lakini nifupishe Habari
Kupitia Gharama na mengineyo. coz hii sadaka ilikuwa ina hatarisha maisha ya watu lakini pia ilikuwa Ina gharimu Sana maisha ya watu.
Ndipo Mungu mwenyezi ikamlazimu amtume Yesu Kristo kwa ajili ya kufanyika kafara na kupitia kafara ya Damu yake pale msalabani Basi kila ambaye ataliita Jina lake atapata nehema na wokovu.kama ilivyo leo hii

Kuna sadaka ambayo hutolewa na kwenda kwa Lucifer na miungu mengine.
Hii inahitaji Umakini na uziada wa kuielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mstari " hii sadaka ilkuwa ina hatarisha maisha ya watu,lakini pia ilikuwa ina gharimu sana maisha ya watu";
Kutokana na huo mstari hapo juu swali langu ni hili hapa ;
1.Kama sadaka ilikua ina hatarisha maisha ya watu kwanini Mungu muweza wa yote hakulijua hilo toka mwanzo adi akawataka watu watoe hizo sadaka za kuchinja ?
 
Una uelewa mdogo wa biblia ndiomaana umeuliza swali ambalo kama ni hesabu tungesema umeuliza 1+1=?,nakujibu kwa mstari mmoja wa biblia ,Waebrania 10:14-24 inasema hv
"Lakini huyu, alipokwisha kutoa kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idumuyo hata milele, aliketi mkono wa kuume wa Mungu;
13 tangu hapo akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.
14 Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa."
Kafara ya damu alishaifanya Mungu pale msalabani akasema imekwisha,tulicho agizwa wanadamu ni kufuata tu njia aliyotengenezwa tayari kupitia yesu kristo na sio tena kutoa hayo makafara,hakuna tena kafara
ukisoma pia waebrania 10:10
" Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu."
Utachagua wewe sasa kufuata biblia inachosema au wachangiaji wanaokuunga mkono humu jf
1.Nani ana mamlaka ya kutakasa ?
2. Bila hiyo damu ya Yesu hawezi kutakasa ?
 
Huu mstari " hii sadaka ilkuwa ina hatarisha maisha ya watu,lakini pia ilikuwa ina gharimu sana maisha ya watu";
Kutokana na huo mstari hapo juu swali langu ni hili hapa ;
1.Kama sadaka ilikua ina hatarisha maisha ya watu kwanini Mungu muweza wa yote hakulijua hilo toka mwanzo adi akawataka watu watoe hizo sadaka za kuchinja ?
Ooh Ilikuwa Ni deni ambalo binadamu walipaswa kulilipa.na c kama Mungu hakuona

Halafu nilicho note KWAKO,.
unamfikiria Mungu katika utashi na akili zako to sadly ukiwa katika mwili

Anyways Mambo ya MUNGU Ni Imani.
na Imani chazo chake Ni kusikia

Kama huna Imani na MUNGU siwezi kukuelezea habari za MUNGU

Deni hilo Mungu alilijua kabla binadamu ajalikopa , huoni mchezo mzima aliufanya Mungu mwenyewe binadamu ni nyenzo tu ?
 
Back
Top Bottom