Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,865
- 730,438
Ikiwa katika mfuatano wa namba msingi yani 0-9/1-9, namba saba inaonekana ni namba ya kawaida kabisa, lakini kwa taarifa yako hii ndio namba ya ukamilifu inayoendesha dunia na ndio namba yenye tafsiri zinazoshabihiana kwenye imani zote
Nina hakika ulianza kuitambua hii namba upekee wake kwenye habari za uumbaji, kwamba Mungu aliumba ulimwengu kwa siku sita na siku ya SABA akapumzika..... Lakini wengine watakuambia kuhusu mnyama paka Kuwa na roho saba ama lile joka lenye vichwa saba
Kibiblia namba saba! Imetajwa kwenye mambo mengi sana sana nitataja machache kwasasa
-ukamilifu wa kiroho
-utimilifu wa jambo
-mnyama wa sadaka asiwe chini ya siku saba
-pair saba za wanyama walioingia kwenye safina ya Nuhu
-Alama ya uungu na Mungu mwenyewe huku namba sita ikiitwa namba ya mwanadamu (refer uumbaji na Freemasons)
-msamaha samehe saba mara 70
Namba saba imetajwa kwenye Bible mara 490 ...hapa utapata majibu mengi
Kwa Wahindu na wabuddhist wanaamini katika mbingu saba kama ifuatavyo
1.dunia
2.ulimwengu hai
3.mbingu
4.ulimwengu wa kati, mpaka kati ya ulimwengu wa juu na chini, ulimwengu wa kiza na nuru
5.ulimwengu wa rebirth na reincarnation
6.hekalu la baraka mduara wa ukweli
7.mbingu ya saba, hatua ya mwisho kufikia ukamilifu
Nitakuja na tafsiri ya namba saba kwa imani ya Kiislam pia....lakini namba saba ni namba yenye nguvu mamlaka na ndio pointer ya ulimwengu unaoonekana toka katika ulimwengu wa roho
Nitarudi kuendelea sehemu ya pili.... Usisahau pia kinywaji baridi cha SABA JUU