Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mazingira ni nini..? Ni vitu vyote vinavyomzunguka mwanadamu kama miti,mawe,ardhi n.k. Kwanini nimesema mazingira yanatujua zaidi ya tunavyoyajua..? Coz kila tunachotaka ktk mazingira tunapata...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
"Energy can neither be created nor destroyed, but it can be transformed from one form to another" ~ Newton’s Law of energy Conservation. Kwamba nishati haiwezi kuundwa wala kuharibiwa, lakini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa Nini Watu Wazuri Hupatwa na Mambo Mabaya? Kwa kuwa Yehova Mungu * ndiye Muumba wa vitu vyote na ni mweza-yote, huenda wengi wakadhani kwamba yeye ndiye anayesababisha mambo yote ulimwenguni...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Ulipokuwa mtoto mdogo, uliwauliza wazazi wako, “Watoto hutoka wapi?” Ikiwa uliwauliza, walikujibu namna gani? Ikitegemea umri wako na utu wao, huenda wazazi wako walilipuuza swali hilo au...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari jf Natumai mpo vema kabisa,, kutokana na mambo machache nitayoyauliza hapa kuhusu suala la dini na imani kwa ujumla ikatokea nitajibiwa vizur pasi na shaka bila kwa wenye kutoa majibu...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Chombo cha anga za juu cha shirika la Marekani la NASA kilichopewa jina Juno kimetuma picha za kwanza za sayari ya Jupiter. Moja ya hizo, iliyotolewa na NASA Jumanne inaonesha sayari hiyo ikiwa...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Magazeti ya Guardian la Uingereza na Washington Post la Marekani yamechapisha wiki iliyopita habari za siri kutoka taasisi ya usalama wa taifa CIA.Habari hizo zinaeleza jinsi taasisi hiyo ambayo...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Popular sense seem imagination as unreal, BUT it is real. HOW IT IS REAL? When a man imagines he/she actually creates a form on the astral plane, and this form is real and objective to...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Namba za simu zinaanza na 1 hadi 3 pale juu mwanzoni, lkn calculator zinaanza na 7 hadi 9, nimechunguza mara nyingi nimekuta hii kitu, iko ikoje hii wana jf?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwanini watu wengine huwa na machale juu ya jambo baya liwezalo kumtokea au tayari linamtokea wakati huo huo. Hata wengine utasikia akisema "Moyo wangu unauma" wakati huo huo anadai kumkumbuka mtu...
5 Reactions
41 Replies
16K Views
Tujadili nani yupo juu kijeshi kati ya israel na iran,wachambuz wote mnakaribishwa mada ipo mezani
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Naamini mko poa. Leo hebu tuendelee kuzifahamu sayari zilizoko kwenye mfumo wa jua letu, na tutaiangalia kiundani zaidi sayari ya Saturn hebu tuanze. 1. Ni sayari ya 6 kutoka...
1 Reactions
31 Replies
18K Views
Wiki kama mbili zilizopita nilikuwa naangalia kipindi cha Simbeye pale TBC1, mmojawapo wa wazungumzaji alikuwa ni huyu Profesa. Kwa kweli nirifarijika sana jinsi huyu bwana alivokuwa akitetea...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
US honours Kilango DAILY NEWS Reporter, 26th March 2009 @ 10:39 The United States embassy today awarded Member of Parliament for Same East constituency in Kilimanjaro Region, Mrs Anne Kilango...
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Kwa muda mrefu nimeendelea kushangaa intelijensia ya wanyama. Kwa muono huu wa picha hapa, kwamba kuna viumbe hutanguliza watoto na wengine hukaaa sambamba na wengine hukaa nyuma ya watoto wao...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Habarini wanajamvi, kwanza kabisa niwapongeze wale ambao hawalali usiku na mchana kwa kazi kubwa na nzito ya kizalendo kuhakikisha Taifa letu lipo Salama kabisa. Siku za karibuni kumetokea...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imebainisha kuwa hadi kufikia Juni mwaka huu, shule za msingi zilikuwa na walimu wapatao 58 wenye Shahada ya Udakatari wa Falsafa (PhD) wakati walio na Shahada...
1 Reactions
42 Replies
12K Views
Ardhi inasemeshwa na inaelewa na inafanya kile ambacho imeambiwa najua huwezi amini hili ninalo kuambia ila ni rahisi sana kuamini kuwa kuna jamii fulani wao hawazai kabisa, kunajamii wao...
9 Reactions
26 Replies
9K Views
Your body is not you. It is a mechanism and organism of nature that you live in, to learn and master. Much like you sit in a car and operate it, your consciousness sits in and out of your body...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, nijuavyo mi ni kwamba binadamu ana mihimili mikuu mitatu. Kwanza ni roho, pili ni mwili na tatu ni nafsi. ROHO nafahamu ni ile pumzi ya uzima kutoka kwa mungu mwenyezi...
2 Reactions
62 Replies
15K Views
Back
Top Bottom