Sidhani Kama Mungu Aliamua Kutuweka Katika Sayari Ya Dunia Halafu Sayari Nyingine Zibaki Kama Mapambo.
Ninachoami Kwenye Hizo Sayari Nyingine Kuna Viumbe Wanaishi Na Either Wana Mungu Wao Au Ni...
Egypt is the most powerful country in Africa according to the index that measures a government’s military strength.
Out of 30 African countries, the GFP said Egypt also ranked 12th out of 126...
Raisi wa Algeria ameivunja idara yao ya Usalama wa taifa.
Inasemekana ni moja kati ya Idara zilizokuwa na nguvu sana hapa Barani Africa.
Hii ilianza baada ya kumtoa mkuu wa Idara hiyo ambaye...
Wana JF natumaini muwazima.
Kama tujuavyo kwamba zamani katika taifa la Ethiopia kulikuwa na Malikia alie julikana kwa jina la Malkia wa Sheba au malikia wa Kushi.
Katika biblia tuna msoma akiwa...
Kuna madai ambayo yameshakuwa yakitolewa hapa na watu mbali mbali na pia nje ya hapa kuna madai ya aina hiyo ambayo yamekuwa yakitolewa na watu mbali mbali wakimkosoa Mungu kwamba hana Upendo...
JF
Nimesoma hii essay/short story ambayo inasemekana imeandika na Jules Verne mwaka 1889 japo wengine wanasema imeandikwa na Mwanae Mitchel Verne lakini idea ikiwa ni ya baba yake, akipredict...
Wakuu mwenye kujua hii kitu anijuze kiundani hapa
==================
What Is a Black Hole?
An artist's drawing a black hole named Cygnus X-1. It formed when a large star caved in. This black...
Nilikuwa nazungumza na mzee mmoja, ambaye ni mtu mwenye heshima yake katika jamii na anao umarufu wa haja. Mada yetu ilikuwa ni kuhusu maendeleo ya taifa hili na fikra za watanzania hasa viongozi...
Kumradhini wanazuoni, Hivi ni kweli Mmarekani Neil Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikikia sauti ya Azaan?
=====
When Neil Armstrong and co. walked on the moon, they heard sounds in a...
Kila siku nasikia, nasoma, naangalia youtube, hata kwenye tv, na pia ni juzi tu wenzetu wametuma chombo Mars na wanasema kitafika october.
SWALI: Hawa watu(wanasayansi) wanajuaje kama MARS ipo...
Image copyright - Reuters
Serikali katika mkoa wa Gansu, China imeagiza wasimamizi wa shule kutekeleza kikamilifu marufuku ya kutokubalia shughuli zozote za kidini shuleni.
Wizara ya elimu...
WanaJamvi nawasalimu,
Hili swala limekua likinitatiza kwa kitambo kidogo.. Mimi nimekulia huko mkoa kando na ziwa, wakati nakua ilikua kawaida yetu sisi vijana wa rika moja kwenda kuoga pamoja...
Jino kubwa la nyangumi lapatikana Australia
Image copyrightAFPMuseum Victoria
Image captionJino hilo lilipatikana mwezi Februari
Jino kubwa la nyangumi limepatikana ufukweni Australia, na kuwa...
Habari wanaforum,kuna kitu kinanitatiza ningeomba ufafanuzi kuhusu hili,mwaka 2013 nilipata kuishi bagamoyo ambayo mpaka sasa naamini ni sehem pekee tanzania yenye watu wengi sana jamii ya...
Kumekuwa na theory nyingi mitaani kuwa watu wenye intelligence kubwa na ma-genius wengi wana tabia nyingi za ukichaa au ni vichaa kabisa, madaktari bingwa wengi kwenye mahospitali makubwa hapa...
Habarini wanajukwaa kuna vitu vinanitatiza kuhusu wanasayansi na Maphilosophy wa zamani Yaan Kipindi Kile cha Dawrn, Na wengineo na wanasayasi wa sasa Ukifatilia History Za wanasayansi wa zaman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.